Ufaransa yasalimu amri na kuondoa lockdown, ni baada ya uchumi kuyumba vibaya

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Baada ya kujifungia ndani kwa muda mrefu, wafaransa wameamua kama kufa na wafe tu, lockdown haivumiliki tena, wame ‘ease’ lockdown ili kunusuru uchumi.

Source: BBC TV usiku huu

Watu wakipanga foleni ya kupewa msaada wa wali maharage huko Paris, Ufaransa.
 
Nchi nyingi zinaanza kulegeza lakini ni baada ya kuona curve inakwenda chini sio hapa kwetu tunaficha visa vya corona.
 
Comrade umeona kilichotokea hapo kwa Uhuru?
Aliporuhusu kwa sehemu ndogo watu waanze mishe mara paap!, mzigo covid umeripuka mara mbili zaidi, so inuka uangalie mkuu!!
Nchi nyingi zinaanza kulegeza lakini ni baada ya kuona curve inakwenda chini sio hapa kwetu tunaficha visa vya corona.
 
Ni kwanini hausemi kwamba walishafikia peak ya maambukizi na sasa Maambukizi na vifo vinapungua kila kukicha? Unaficha kwa faida ya nani?
 
Baada ya kulegeza curve inarudi tena juu halafu tuna rudi tena lockdown miezi mitatu alafu curve ikianza kwenda chini tunalegeza tena hivyo hivyo, si ndio?


China waliondoa lock down kitambo sana. Ni lini uliona curve imerudi juu?
 
Ndugu yangu tumia hata hio akili ndogo uliyonayo kuchambua vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…