Ufaransa yasalimu amri na kuondoa lockdown, ni baada ya uchumi kuyumba vibaya

Ni kwanini hausemi kwamba walishafikia peak ya maambukizi na sasa Maambukizi na vifo vinapungua kila kukicha? Unaficha kwa faida ya nani?
View attachment 1443380View attachment 1443381
Curve inashuka ila ugonjwa haujaisha, ukiondoa hiyo lockdown curve inapanda tena halafu wanakaa tena lockdown miezi mitatu, halafu curve ikishuka tena wanatoa tena lockdown halafu curve inaanza kupanda tena , hivyo hivyo over and over again, kumbuka unahitaji mgonjwa mmoja tu, patient zero ili kupata tena mlipuko mkubwa kama wa mwanzo au zaidi
 
China waliondoa lockdown mapema sana. Vipi curve yao ilishuka?
 
China waliondoa lock down kitambo sana. Ni lini uliona curve imerudi juu?
We unaamini data za waChina? Kuna kipindi walibanwa wakarevise idadi ya vifo ikawa mara 2 ya waliyotangaza, kumbuka, unahitaji mgonjwa mmoja tu (patient zero) ili ugonjwa kulipuka tena upya au zaidi ya mwanzo
 
Acha uongo... hicho kipindi unachosema walibana hizo data walivokuja kutoa waliweka wazi kwamba ni za wagonjwa ambao hawakuhesebiwa na most walifia majumbani.

Halafu eti unasema tusiziamini data za china. Kwa hiyo tuziamini data za ccm?
 
Hata za CCM usiamini, kwahiyo ulitaka waseme kwamba ni kweli walificha data? Au ulitegemea wakose excuse?
 
Usitake kuwapangia walioweka lockdowns na sasa wanaziondoa. Wewe na baba yenu mmesema hakuna lockdown Tanzania basi hiyo inatosha. Msitake kuaminisha dunia eti nyie ni smart kuliko wengine duniani kwa kuchagua uchumi over maisha ya watu. Lockdowns zimezisaidia sana Ulaya, China na America. Haina ubishi. The curves have been flattened na sasa zimetelemka sana na pressure kwenye health systems imepungua. Mngekuwa na akili hivyo mngeshindwa kwenda A-level? Badala yake mkaenda half-combi?
Unapoondoa lockdown wakati ugonjwa haujaisha ina maana gani, kumbuka unahitaji mgonjwa mmoja tu (patient zero) kusababisha mlipuko mwingine kama wa awali au zaidi
 
Usitake kuwapangia walioweka lockdowns na sasa wanaziondoa. Wewe na baba yenu mmesema hakuna lockdown Tanzania basi hiyo inatosha. Msitake kuaminisha dunia eti nyie ni smart kuliko wengine duniani kwa kuchagua uchumi over maisha ya watu. Lockdowns zimezisaidia sana Ulaya, China na America. Haina ubishi. The curves have been flattened na sasa zimetelemka sana na pressure kwenye health systems imepungua. Mngekuwa na akili hivyo mngeshindwa kwenda A-level? Badala yake mkaenda half-combi?
Acha kuumia!

Wao wenyewe wameona lockdown haina maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitake kuwapangia walioweka lockdowns na sasa wanaziondoa. Wewe na baba yenu mmesema hakuna lockdown Tanzania basi hiyo inatosha. Msitake kuaminisha dunia eti nyie ni smart kuliko wengine duniani kwa kuchagua uchumi over maisha ya watu. Lockdowns zimezisaidia sana Ulaya, China na America. Haina ubishi. The curves have been flattened na sasa zimetelemka sana na pressure kwenye health systems imepungua. Mngekuwa na akili hivyo mngeshindwa kwenda A-level? Badala yake mkaenda half-combi?
Sasa si utumie logic, awali kila nchi ilikuwa na zero cases, means mlipuko huu kwa kila nchi ulianza na mgonjwa mmoja tu, (patient 1 in this case), so logic implies, ni either ukae lockdown hadi wagonjwa wabaki 0 kabisa ndio utoe lockdown, au usikae lockdown kabisa, that is avery simple logic, maana ukishatoa lockdown obviously mlipuko utarudi one way or the other, au usikae lockdown altogether ila mchukue tahadhari za social distancing, kuvaa barakoa na kunawa na kusanitize mikono mara nyingi iwezekanavyo, how are you people missing this very very obvious logic??!
 
Kumbe maambukizi yamepungua? Kwa akili yangu ndogo nlifikiri yameisha.

So yakianza kupanda watajilockdown tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ndicho ninachojaribu kusema, kutoa lockdown means wagonjwa ni 0 kabisa, otherwise the whole lockdown was a waste of time, curve itapanda na watakaa tena lockdown?
 
Back
Top Bottom