Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja nchi ambazo ziliweka lockdown halafu ikaondoa lockdown kwanza ili tuziangalie, na pia nani akupe taarifa kwamba eti curve imepanda tena, kwani wao wajinga? Logic implies kama awali nchi zote zilikuwa na 0 cases, means lazima kulikuwa na mgonjwa wa kwanza (patient number 1) katika kila nchi ambae ndie amesababisha mlipuko wote katika nchi husika, kwahiyo kama lockdown inaondolewa pakiwa bado pana hata mgonjwa mmoja tu? Ni kwanini mlipuko usirudi tena one way or the other? Then lockdown haikuwa na maana ila cha maana ni kuchukua tahadhari zinazotolewa na wataalamHebu nitajie nchi hata moja ambayo maambukizi yalipungua halafu yakaongezeka tena.
Logic implies ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke kabisa, kwasababu kila nchi hapo awali ilikuwa na 0 cases, kwa hiyo lazima kulikuwa na yule mgonjwa wa kwanza kabisa ambae ndiye alisababisha mlipuko wote katika nchi husika, sasa kuondoa lockdown wakati kuna hata mgonjwa mmoja tu amebaki means the whole lockdown was use less, maana huyo mmoja ataaambukiza tena na lockdown itahitajika tena, sasa kwanini tu wasifuate maagizo ya kujikinga na kuchukua tahadhari badala ya lockdown?Lockdown haiwezi kuwa ya milele. Lockdown ina mwisho wake. Sasa ndio mwisho wake umefika. Inaondolewa. Sasa nyie mashabiki mnashangilia eti mmepata points! Crazy!
Hata mimi nawasubiri kwa hamu kubwa sana.Mimi nawasubiri waganda ipo siku si nyingi watakurupuka toka ndani kama panya.
Yani nawa zoom naona kabisa hawa jamaa siku wanatoka tunaweza kushuhudia maajabu mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Logic implies ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke kabisa, kwasababu kila nchi hapo awali ilikuwa na 0 cases, kwa hiyo lazima kulikuwa na yule mgonjwa wa kwanza kabisa ambae ndiye alisababisha mlipuko wote katika nchi husika, sasa kuondoa lockdown wakati kuna hata mgonjwa mmoja tu amebaki means the whole lockdown was use less, maana huyo mmoja ataaambukiza tena na lockdown itahitajika tena, sasa kwanini tu wasifuate maagizo ya kujikinga na kuchukua tahadhari badala ya lockdown? Maana itachukuwa lockdown nyingine tena ya miezi kadhaa ili kushusha tena curve, huo ni uwendawazimu, hakuna uchumi unaweza kustahimili hiyo ‘yoyo’ effectKwani Lockdown ilikuwa ya milele ?Wamefanya hivyo sababu maambukizi yanapungua. Na Bar,Clubs,restaurants,makanisa,misikiti vinaendelea kufungwa.
Wamefungua shule za msingi tu. Na hawatasita ku Lockdown tena kama maambukizi yakiongezeka.
Waeleze kina CDM, Kigogo n.k. Ni shghuli na nchi lazima iyumbe miaka na miaka...Kufunga nchi sio masikhara
Lockdown imesaidia sana kupunguza maambukizi. Lockdown inasaidia kuongeza social distance ambayo ndo factor number moja katika kuzuia propagation ya virus.Logic implies ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke kabisa, kwasababu kila nchi hapo awali ilikuwa na 0 cases, kwa hiyo lazima kulikuwa na yule mgonjwa wa kwanza kabisa ambae ndiye alisababisha mlipuko wote katika nchi husika, sasa kuondoa lockdown wakati kuna hata mgonjwa mmoja tu amebaki means the whole lockdown was use less, maana huyo mmoja ataaambukiza tena na lockdown itahitajika tena, sasa kwanini tu wasifuate maagizo ya kujikinga na kuchukua tahadhari badala ya lockdown? Maana itachukuwa lockdown nyingine tena ya miezi kadhaa ili kushusha tena curve, huo ni uwendawazimu, hakuna uchumi unaweza kustahimili hiyo ‘yoyo’ effect
Umeelewa kweli nilichoandika? Msaada wa lockdown unakua permanent kama ikiweka to the last patient, Sasa hizo hatua za social distancing na kukaa 15 kwanini zisinhefanyika kabla ya lockdown ambayo inaathiri uchumi irrepairably?! Kama kweli hizo hatua za social gathering kupigwa marufuku na social distancing ndio zinatatua tatizo kwanini wasingezitumia kabla ya lockdown bila kuweka lockdown as we are doing, whats the point of a lockdown then?Lockdown imesaidia sana kupunguza maambukizi. Lockdown inasaidia kuongeza social distance ambayo ndo factor number moja katika kuzuia propagation ya virus.
Maisha baada ya Lockdown yatakuwa sawa na maisha kabla ya Lockdown.
Kwanza kila raia atatakiwa kuvaa mask akipanda usafiri wa umma.Pia kwa mfano darasani kutakuwa na wanafunzi 15 maximum kwa kila darasa.
As I told you social gatherings zingine zimeendelea kufungwa,wafanyakazi wanaoweza kufanya kazi via online wataendelea kufanya hivyo. Hivyo basi siyo kwamba ile situation ya kama vile hamna Coronavirus inarudi.
Lockdown imezuia almost vifo 60,000.The point ya Lockdown ni kusaidia kutoparalayse mfumo wa huduma ya afya. Kwa sababu wagonjwa wangekuwa wengi hadi hospital na watumishi wa afya wangezidiwa then mfumo ungecolapse.Umeelewa kweli nilichoandika? Msaada wa lockdown unakua permanent kama ikiweka to the last patient, Sasa hizo hatua za social distancing na kukaa 15 kwanini zisinhefanyika kabla ya lockdown ambayo inaathiri uchumi irrepairably?! Kama kweli hizo hatua za social gathering kupigwa marufuku na social distancing ndio zinatatua tatizo kwanini wasingezitumia kabla ya lockdown bila kuweka lockdown as we are doing, whats the point of a lockdown then?
Kwahiyo hii social distancing na kukaa wanafunzi 15 haina maana yeyote basi, kama ingekuwa na maana ingefanyika badala ya lockdown, sivyo?, unless otherwise tuvitegemee hivyo vifo 60,000/= kutokea maana lockdown imeondolewa sasa, na probably wakati lockdown inawekwa hapakuwa na as many case as zilizopo sasa japo zimeshuka toka kwenye peak ila bado ni nyingi kulinganisha na cases zilizokuwepo wakati wa kuweka lockdown, so tunatoa lockdown now when there are more case than zilizokuwepo wakati tunaweka, where is the logic?Lockdown imezuia almost vifo 60,000.The point ya Lockdown ni kusaidia kutoparalayse mfumo wa huduma ya afya. Kwa sababu wagonjwa wangekuwa wengi hadi hospital na watumishi wa afya wangezidiwa then mfumo ungecolapse.
Wenye hela wameishindwa Lockdown, wewe kanyeramumo unakomalia utawalisha nini watu?
Hiki ndicho ninachojaribu kusema, kutoa lockdown means wagonjwa ni 0 kabisa, otherwise the whole lockdown was a waste of time, curve itapanda na watakaa tena lockdown?
Kumbe maambukizi yamepungua? Kwa akili yangu ndogo nlifikiri yameisha.
So yakianza kupanda watajilockdown tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama walivyo rivise UK hapajuzi wakawa wanaongoza EUROPE nzima MKUU ama ?!We unaamini data za waChina? Kuna kipindi walibanwa wakarevise idadi ya vifo ikawa mara 2 ya waliyotangaza, kumbuka, unahitaji mgonjwa mmoja tu (patient zero) ili ugonjwa kulipuka tena upya au zaidi ya mwanzo
Nahisi anaweza akakuelewa kama hatataka kua mbishi.....Acha uongo... hicho kipindi unachosema walibana hizo data walivokuja kutoa waliweka wazi kwamba ni za wagonjwa ambao hawakuhesebiwa na most walifia majumbani.
Halafu eti unasema tusiziamini data za china. Kwa hiyo tuziamini data za ccm?