Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Acha kusoma kozi za kijinga,soma bachelor of science with Education (Physics) ,hiyo utasota tu maana ww SI mwalimu sio mkemia
 
Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Naimani inawezekana kijana, pitia TCU guide book ya mwaka huu kusoma vigezo
 
Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Usisome hiyo, wanasema inasumbua sana kufaulu alafu haina ajira wala kujiajiri. Hivyo chagua kusoma Bsc with education (Phys & Chem).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…