Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

Hana Mathematics, engineering hawezi kupata.
Kuna kozi kama

1. Architecture ya ardhi

2. Building economics

3. Software engineering pale udom

Hawezi kosa hizo

Pia katika engineering physics ina uzito sana. Kwa physics yake anaweza pata kozi engineering bila shida.
 
Aachane na education..asome bachelor of chemistry.
Hata hiyo siwezi shauri mtu asome aisee.. apambane na engineering au kozi kama

1. Architecture ya ardhi

2. Building economics

3. Software engineering pale udom

Hawezi kosa hizo. Aangalie engineering za SUA, ARDHI NA UDOM.. hawezi kosa aisee!

dhama hizi kumwabia mtu akasome education daah!

Pia katika engineering physics ina uzito sana. Kwa physics yake anaweza pata kozi engineering bila shida.
 
Hata hiyo siwezi shauri mtu asome aisee.. apambane na engineering au kozi kama

1. Architecture ya ardhi

2. Building economics

3. Software engineering pale udom

Hawezi kosa hizo. Aangalie engineering za SUA, ARDHI NA UDOM.. hawezi kosa aisee!

dhama hizi kumwabia mtu akasome education daah!

Pia katika engineering physics ina uzito sana. Kwa physics yake anaweza pata kozi engineering bila shida.
Hajasoma Advance Mathematics, hakuna engineering watakayomkubali.
 
Unasoma vizuri kabisa.

Ni wewe kuamua lakini ukiomba hiyo kozi unachaguliwa.

Fanya utafiti wa kutosha juu ya kozi mbalimbali unazoweza kusoma kabla ya kuchagua hiyo.
 
Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Unaweza kusoma digrii ya JPM. nayo ilikuwa Phy, Chem, na Edu
 
Ishu siyo yeye kushindwa mathematics bali ishu ni vigezo vya muongozo wa TCU havimruhusu yeye kusoma engineering.
Anyway ajaribu DMI au ATC kwa kozi ya mechatronics engineering au mechanical engineering.
Engineering anasoma hata kama hajasoma adv math. Inategemea na kozi na chuo
Mfano St. Joseph,Aridhi, Arusha Tech
 
Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Kwanza HONGERA SANA SANA. Pili, ndiyo.
All the best MWANASAYANSI...
 
Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Si mliemdekeza michezo na mapenzi uchwara!! Aya kaombe kazi uwe mgambo
Cc : ephen_
 
A

Asante sana mkuu, hivi hii kozi ina opportunities za ajira au naweza kujiajiri
Soma faulu, ajiriwa, ukishapata uzoefu wa kutosha kujiajiri kutakuja kirahisi sana sana..
 
Kombi za mwendo kasi sana, sasa kwa nini usingesoma PCB au PCM mkuu ukaja kusoma kozi za maana. Ona sasa unaangahaika mikozi ya ajabu.
Aliogopa kusoma Adv Mathematics na Biology
 
Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Umefaulu vizuri tu na unaweza kusoma kabisa.

Ila ukisoma hiyo kozi utakuwa nani ?....
 
Back
Top Bottom