Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

Ufaulu huu naweza kusoma BSc in Physics and Chemistry?

Tatizo mkuu sijasoma math
kama wewe ni Mchaga au Muhaya iga ndugu zako. Yuko tayari akomae mpaka apte anachokitaka. Ninamaanisha fanya paper ya math six upate kigezo.
Kazi sio kitu cha kubeti utakuja kujutia.ni bora uchelewe kwenda chuo hata miaka 3 kuliko kuja kujutia maisha yote. Bora kukosea mke unaweza tafuta mchepuko wa vigezo vyako kwenye taaluma ni ngumu na itakuchukulia mda.
Usiende kusoma kisa tu unafuata mfumo bali fuata maono yako.
 
Software engineer PCB Mwenye physics D chemistry C na biology C anaweza kusoma udom?
 
Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Mkuu hiyo combination inaitwaje ?
 
Back
Top Bottom