Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Kuna kozi kamaHana Mathematics, engineering hawezi kupata.
Hata hiyo siwezi shauri mtu asome aisee.. apambane na engineering au kozi kamaAachane na education..asome bachelor of chemistry.
Hajasoma Advance Mathematics, hakuna engineering watakayomkubali.Hata hiyo siwezi shauri mtu asome aisee.. apambane na engineering au kozi kama
1. Architecture ya ardhi
2. Building economics
3. Software engineering pale udom
Hawezi kosa hizo. Aangalie engineering za SUA, ARDHI NA UDOM.. hawezi kosa aisee!
dhama hizi kumwabia mtu akasome education daah!
Pia katika engineering physics ina uzito sana. Kwa physics yake anaweza pata kozi engineering bila shida.
Tatizo mkuu sijasoma math
Zama zimebadilika mkuu. Sio kama zamani. Huyo kwa sababu ana phy na chem engineering anasoma vizuri kabisa.Hajasoma Advance Mathematics, hakuna engineering watakayomkubali.
Ishu siyo yeye kuweza au kutoweza, ishu ni muongozo wa TCU unamtema.Zama zimebadilika mkuu. Sio kama zamani. Huyo kwa sababu ana phy na chem engineering anasoma vizuri kabisa.
Ishu siyo yeye kushindwa mathematics bali ishu ni vigezo vya muongozo wa TCU havimruhusu yeye kusoma engineering.Physics ndio msingi wa engineering.. kama physics unajua maths huwezi kushindwa
Unaweza kusoma digrii ya JPM. nayo ilikuwa Phy, Chem, na EduNilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Pitia kitabu vzuri Cha TcuTatizo mkuu sijasoma math
Textile, environmental, mechanical, materialHajasoma Advance Mathematics, hakuna engineering watakayomkubali.
Engineering anasoma hata kama hajasoma adv math. Inategemea na kozi na chuoIshu siyo yeye kushindwa mathematics bali ishu ni vigezo vya muongozo wa TCU havimruhusu yeye kusoma engineering.
Anyway ajaribu DMI au ATC kwa kozi ya mechatronics engineering au mechanical engineering.
Kwanza HONGERA SANA SANA. Pili, ndiyo.Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Si mliemdekeza michezo na mapenzi uchwara!! Aya kaombe kazi uwe mgamboNilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Asante sana mkuu, hivi hii kozi ina opportunities za ajira au naweza kujiajiriKwanza HONGERA SANA SANA. Pili, ndiyo.
All the best MWANASAYANSI...
Soma faulu, ajiriwa, ukishapata uzoefu wa kutosha kujiajiri kutakuja kirahisi sana sana..A
Asante sana mkuu, hivi hii kozi ina opportunities za ajira au naweza kujiajiri
Aliogopa kusoma Adv Mathematics na BiologyKombi za mwendo kasi sana, sasa kwa nini usingesoma PCB au PCM mkuu ukaja kusoma kozi za maana. Ona sasa unaangahaika mikozi ya ajabu.
Umefaulu vizuri tu na unaweza kusoma kabisa.Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C