Ufaulu huu wa kidato cha nne hadi ngapi unaenda kidato cha tano,na ngapi kusomea ualimu wa primary?

Ufaulu huu wa kidato cha nne hadi ngapi unaenda kidato cha tano,na ngapi kusomea ualimu wa primary?

tenanzinyo

Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
64
Reaction score
23
jaman naomben kujuzwa ukipata ngapi unachukuliwa kwenda kidato cha tano(shule za serikari) na vyuo vya ualimu?
 
Hapo ndo pana utata sasa! Lakn nafikiri itakuwa credit 3 na E2 unachukuliwa advance ya serikali! Na private ni kwa wale wote ila mwisho DIV III.39.
 
Hapo ndo pana utata sasa! Lakn nafikiri itakuwa credit 3 na E2 unachukuliwa advance ya serikali! Na private ni kwa wale wote ila mwisho DIV III.39.

div 111 mwisho ni point 31 tu. 1V inaanzia point 32 mkuu.
 
1=31 unaenda shule za secondary hapo ni sawa umepata div 1 mpk div 3
 
Jaman hii elmu yetu yaenda WAP? Wanetoa div v wameweka daraja E wanaondoa makal ya kufel eti kiwango kmepanda hakuna F kuna E je kimepanda au twazalisha mambulula mmmmmm. Elimu oyeeeeeeee big results now
 
Naomba watueleweshe,mtu ana D,E,D.C,C,E,D,sasa huyu kijana anaenda form V? Ana div IV ya 35
 
Back
Top Bottom