tenanzinyo
Member
- Dec 28, 2012
- 64
- 23
Hapo ndo pana utata sasa! Lakn nafikiri itakuwa credit 3 na E2 unachukuliwa advance ya serikali! Na private ni kwa wale wote ila mwisho DIV III.39.
Mwanangu amepata
DIV. IV - 32
anakwanda wapi huyu?
Nisaidieni
Mm nina four ya 32 je napaswa kwenda wap?
huyo anakwenda polisi au vetaMwanangu amepata DIV. IV - 32 anakwanda wapi huyu? Nisaidieni
wewe nenda kwa mulugo tu,atakurekebishia nawe utakua na div 1Mm nina four ya 32 je napaswa kwenda wap?
ukiwa na four bt unacredit unaenda advance
Mwanangu amepata
DIV. IV - 32
anakwanda wapi huyu?
Nisaidieni
Credit ndiyo ngapi sasa??C,D au E??