Naomba watueleweshe,mtu ana D,E,D.C,C,E,D,sasa huyu kijana anaenda form V? Ana div IV ya 35
wana count points vp?Kwa sasa ku-fail Ni option ya mwanafunzi mwenyewe na dent kipanga aliyeishia Form three(3) kwa shule kama Feza,Marian au zile St.lazima apige Division 2.
Check Alama walizotumia:
A 75-100
B+ 60-74
B. 50-59
C. 40-49
D. 30-39
E. 20-29
F. 0-19
Mpangilio mpya wa MADARAJA:
Daraja. Points
l. 7--17
ll. 18--24
lll. 25--31
lV. 32--47
O. 48--49.
jamani mimi nimerudia mtihani nmepata
B-KISW
D-MATH
E-HIS
E-GEO
E-CIV
F-BIOS sasa hii ni div nga?
Divisheni 5
Kwa sasa ku-fail Ni option ya mwanafunzi mwenyewe na dent kipanga aliyeishia Form three(3) kwa shule kama Feza,Marian au zile St.lazima apige Division 2.
Check Alama walizotumia:
A 75-100
B+ 60-74
B. 50-59
C. 40-49
D. 30-39
E. 20-29
F. 0-19
Mpangilio mpya wa MADARAJA:
Daraja. Points
l. 7--17
ll. 18--24
lll. 25--31
lV. 32--47
O. 48--49.
O inaanzia 41 wew
pole sana ndgujamani mimi nimerudia mtihani nmepata B-KISW D-MATH E-HIS E-GEO E-CIV F-BIOS sasa hii ni div nga?
O inaanzia 41
Mkuu hebu pitia tovuti ya necta then angalia matokeo ya shule inaitwa MANYUNYU SO271 Halafu Rudi hapa ujisahihishe.
In short nimegumdua hata wapangaji wa matokeo hawajui Div 4 inaishia points ngapi Kati ya 41 na 44 hiyo shule ndo sample nzuri na Ni jibu lako.
I'm wrong but you are also wrong or not sure of your answer.
div ya III.39 hii ni 3 au 4?
mi sina hata cha kusema kama vip gomeni kama mwaka jana yasahihishwe mara ya pili kuna au fv wachukue c tatu na d tatu kwa masomo yote