for government school lazima uwe na division 3 yenye pass zisizopungua tano ambamo ndani yake lazima uwe na credit 3 ...!
credit include : A-C
pass include :A-D
example
C,B,C,D,D ana sifa ya kwenda gorvenment high school as long as ana division 3
hiyo ni div 4 ya mwanzon kwa hyo kama ina credit3 anaenda private xul na kama hana anaenda certificate vyuon bila tatizo
sasa huyu ana hv bios c geo c chem d eng c hist d anaenda wap!? Nipeni msaada wajameni anapenda kusoma
jamani mimi nimerudia mtihani nmepata
B-KISW
D-MATH
E-HIS
E-GEO
E-CIV
F-BIOS sasa hii ni div nga?
Mi sijaelewa wanavyo panga madaraja. Mwingine kapata point 42 kawekewa 0 na mwingine 42 kapewa div 4. Hapa ndo nin?
div ya III.39 hii ni 3 au 4?
kwa upande wa 0 kama mwanafunzi hana C hata 1 anapata zero ila kama ana japo C 1 na mengine yote amepata E anakuwa amepata div 4
Duuuh Wizara ya Elimu basi tena hakuna kitu kabisa. Kwa upuuzi huu na mwingine mwingi kwenye elimu, R.I.P Elimu ya Tanzania wananchi tulikupenda lakini Kawambwa amekupenda zaidi!!!!