MafalaKuna wazazi hapa nyumbani wamefanya sherehe binti yao kupata dvn 4 ya 33.
Ilibidi niyaangalie hayo matokeo, nikakuta ana D mbili tu ya Kiswahili na Elimu ya kiislamu.
Nikaishia kuwasikitikia..!
Ukitaka kuua Taifa lolote lile Ua kwanza Mfumo wake wa Elimu, automatically Taifa hilo litakuwa limekufa.Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu.
Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo.Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari.
Sababu ambazo zinanipa mashaka ni kwamba watoto wanamatokeo mazuri ila hawajui walichokichosoma mfano.Kama mnabisha waulizeni maswali rafiki waliosoma shuleni tu kama wata wajibu .
Ndugu yangu, (Umeniwahi🙂 Nimekaa leo na mimi nikijiuliza swali hilo hilo kuwa kwani elimu ya Tanzania sasa ikoje (kwa mantiki ya kuwa imerahisishwa kwa kisasi gani.Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu.
Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo.Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari.
Sababu ambazo zinanipa mashaka ni kwamba watoto wanamatokeo mazuri ila hawajui walichokichosoma mfano.Kama mnabisha waulizeni maswali rafiki waliosoma shuleni tu kama wata wajibu .
Private sectors wanatoa sana hongo kwa watumishi wa serikali kuanzia TCRA, TRA, mpaka NECTA. Hakuna penye afadhali mkuu..Hizo private zina siri nyingi mkuu! Usiwe mwepesi wa kuamini hayo matokeo! Ninakijua ninachokisema! Hizo ni biashara na biashara ni matangazo, na matangazo ni gharama! Mtoto analipa milion 8 alafu asipate one???
Hakuna elimu ni mauzauza tu, nani kiongozi anayesomesha mwanae shule za serikali? Siasa imeua elimu na nobody cares tutaendelea kubaki nyuma.Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu.
Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo.Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari.
Sababu ambazo zinanipa mashaka ni kwamba watoto wanamatokeo mazuri ila hawajui walichokichosoma mfano.Kama mnabisha waulizeni maswali rafiki waliosoma shuleni tu kama wata wajibu .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huwez kuelewa bila D mbiliKuna wazazi hapa nyumbani wamefanya sherehe binti yao kupata dvn 4 ya 33.
Ilibidi niyaangalie hayo matokeo, nikakuta ana D mbili tu ya Kiswahili na Elimu ya kiislamu.
Nikaishia kuwasikitikia..!
Chai hiiKuna wazazi hapa nyumbani wamefanya sherehe binti yao kupata dvn 4 ya 33.
Ilibidi niyaangalie hayo matokeo, nikakuta ana D mbili tu ya Kiswahili na Elimu ya kiislamu.
Nikaishia kuwasikitikia..!
Kuna shule kata sekondari kijijini nimeangalia yani wamepata devision 1 na 2.cha kushangaza ilikuwa mshika mkiaZamani mlikuwa mnasomea vibatari, siku hizi umeme upo. Madogo wanasoma kwa raha.
Zamani shule zilikuwa mbovu, walimu wachache, vitabu duni, lakini siku hizi materials kila mahala, youtube, internet, soft copies nakadhalika.
Halafu nyie zamani mlikuwa mnaenda shuleni peku peku huku kaptula imetoboka kwenye makalio unaswampa tu, siku hizi watoto makalio yao huwezi kuyaona kabisa.
Kanisa moja takatifu la mitume.
Cc: johnthebaptist Lamomy Extrovert
Halafu labda mnaangalia shule chache za private tu ndio wanafaulu sana,Hakuna elimu ni mauzauza tu, nani kiongozi anayesomesha mwanae shule za serikali? Siasa imeua elimu na nobody cares tutaendelea kubaki nyuma.
Una akili sanaZamani mlikuwa mnasomea vibatari, siku hizi umeme upo. Madogo wanasoma kwa raha.
Zamani shule zilikuwa mbovu, walimu wachache, vitabu duni, lakini siku hizi materials kila mahala, youtube, internet, soft copies nakadhalika.
Halafu nyie zamani mlikuwa mnaenda shuleni peku peku huku kaptula imetoboka kwenye makalio unaswampa tu, siku hizi watoto makalio yao huwezi kuyaona kabisa.
Kanisa moja takatifu la mitume.
Cc: johnthebaptist Lamomy Extrovert
Eeh yan wao wanaona ndokafaulu.Kuna wazazi hapa nyumbani wamefanya sherehe binti yao kupata dvn 4 ya 33.
Ilibidi niyaangalie hayo matokeo, nikakuta ana D mbili tu ya Kiswahili na Elimu ya kiislamu.
Nikaishia kuwasikitikia..!
Kanunue maandazi ushushie, uzuri niliscreenshotChai hii