chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu.
Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo. Kuanzia shule ya msingi mpaka sekondari.
Sababu ambazo zinanipa mashaka ni kwamba watoto wanamatokeo mazuri ila hawajui walichokichosoma mfano. Kama mnabisha waulizeni maswali rafiki waliosoma shuleni tu kama wata wajibu .