Nimesikia kupitia Radio One leo Asubuhi mtakwimu Mkuu wa Serikali bibi Mjema akishtushwa na ufaulu wa somo la Hesabu kuwa chini sana kwenye 25%
Naomba nimjulishe tu kuwa, asipoteze pesa kwa ajili ya kufanya utafiti kwani jibu lipo waziwazi;
"MASHULENI HAKUNA WAALIMU WAKUTOSHA NA WENYE SIFA YA KUFUNDISHA SOMO LA HESABU"
Mfano; Shule za msingi za umma, waalimu wenye SIFA/PASS ya kufundisha somo la Hesabu pengine ni chini ya 15% inamaana wanafunzi huingia Sekondari wakiwa hawana msingi wa Hesabu. Huko sekondari waalimu wa Hesabu ni wachache pia, pengine 25% ya mahitaji. kwa Shule Binafsi (private) wanajitahidi japo baadhi ya wanaofundisha angalau wana pass ya Hesabu (ila sio waalimu!)
Yeye ni mtwakimu hivyo naomba afuatilie IDADI ya waalimu wenye sifa (Pass) ya kufundisha hesabu shule za msingi na IDADI ya waalimu wa Hesabu shule za Sekondari - ATAPATA MAJAWABU ya nilicho andika.
Mfano: Nikisoma Sekondari shule ya umma miaka hiyo, shule ilikuwa na wanafunzi takribani 500, lakini tulikuwa na Mwalimu mmoja tu wa Hesabu na huko msingi ndio tatizo zaidi, tulisoma hesabu kwa kuunga unga....