UFC 253 Israel Adesanya vs Paulo Costa

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Haya haya leo ni leo kwa wale wazee na wabibi wa mchezo wa kupigana kutumia chochote kiungo kuua mwenzako (mixed martial arts) kihalali UFC leo tupo fight island Abu Dhabi huko.

Adesanya hajawahi pigwa. Costa hajawahi pigwa, je nani kidedea ataibuka leo??! Karata yangu iko kwa Adesanya, of course BLACK LIVES MATTER HAHAHAH.

Hapa nnapoandika saa tisa na dakika 45 alfajiri preliminaries zimeshaanza tayari. Hii ngoma itaenda itaenda nadhani main event itakua huko kati ya saa moja na saa mbili asubuhi.
 
Costa is down round 2. Fight over
Black lives matter.
AAdesanyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ladies and gentlemen.
Safi Sana
 
This fight didn't live to expectation, nilitegemea kuona ushindani lakini Israel kashinda kirahisi sana. He is the king of middleweight
 
This fight didn't live to expectation, nilitegemea kuona ushindani lakini Israel kashinda kirahisi sana. He is the king of middleweight
Costa yuko vizuri sana. Uzuri wa pambano nahisi haukuonekana sababu Adesanya Style yake ya kupigana imemtoa kwenye reli costa.

Wewe mtu anakimbia kimbia, akija paa leading leg yako anaichakaza kwa teke. Mara tena paaa mpka nati za mguu zinalegea. Mara head kick za kushtukiza halafu huyo kachomoka. Yaani kajamaa Adesanya kanaudhi sana. Kila ukikaweka kwenye kumi na nane zako kanachoropoka.

Sasa hayo yooote hapo yanaudhi sana kwa opponent wako. So it's more of a mind game fight utaipata kutoka kwa Adesanya. Ukishakaa nje ya reli sasa ndio kajamaa kanakumaliza.
Kiukweli sipendi kabisa style yake ya kupigana Adesanya sema I have always been racist. Nnapoona black fighters, I become their fans no matter what.
 
Binafsi naipenda, style nisiyopenda ni ya kina Kamaru na Khabib za kukumbatiana kila mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…