Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,357
- 3,550
Haya haya leo ni leo kwa wale wazee na wabibi wa mchezo wa kupigana kutumia chochote kiungo kuua mwenzako (mixed martial arts) kihalali UFC leo tupo fight island Abu Dhabi huko.
Adesanya hajawahi pigwa. Costa hajawahi pigwa, je nani kidedea ataibuka leo??! Karata yangu iko kwa Adesanya, of course BLACK LIVES MATTER HAHAHAH.
Hapa nnapoandika saa tisa na dakika 45 alfajiri preliminaries zimeshaanza tayari. Hii ngoma itaenda itaenda nadhani main event itakua huko kati ya saa moja na saa mbili asubuhi.