Nimetembelea hiyo blog iliyotoa hii habari, sijaona habari yoyote tofauti na zile zilizokuwa zinatoka kwenye magazeti ya ThisDay na kulikoni enzi zile. Kablog kamejaa kashfa za tanil somaiya tu! Hii habari imejaa hearsay na vitu vingi humo ndani haviwezekani. Kumbukeni kuwa huko SA vodacom ni listed company, haiendeswhi kienyeji enyeji kama mwandishi anavyodai kuwa CEO anaweza kupiga fraud kama hili kimyakimya.
Wenzako wameleta hoja hapo kuonyesha jinsi wizi ulivyofanyika,na katika article yote hiyo sijaona mahali CCM imetajwa.Kampuni zinazohusishwa na fraud ni zile ambazo si Rostam wala wenzake wanahusika.Kama Rostam ni shareholder wa vodacom ina maana kwa upande mmoja yeye ni mwathirika wa wizi huo maana wamemkosesha mapato.Ulisikia wapi mtu akajiibia mwenyewe?muda mwingine tuwe tunaufikirisha ubongo wetu kabla ya kukurupuka kuongelea vitu bila kutafakri.
Labda nikuulize katika hizo kampuni zilizotajwa,shivacom,planetel.Alphatel,wamiliki wake umewasoma hapo juu au umesoma juujuu tu?
tanzania ni kisiwa cha amani, nyie mnaoleta habari kama hizi hamna nia njema, hata tukilala njaa au tukiibiwa ni sawa tu kama tutabaki na amani yetu, miaka 51 ya muungano sio mchezo, hii ndio ccm hata upepo huu utapita tu!
tanzania ni kisiwa cha amani, nyie mnaoleta habari kama hizi hamna nia njema, hata tukilala njaa au tukiibiwa ni sawa tu kama tutabaki na amani yetu, miaka 51 ya muungano sio mchezo, hii ndio ccm hata upepo huu utapita tu!
Asee hawa jamaa tutaanza kuwa xenophobia sasa.. teh teh teh wanatufanya sie kama bibi yao..
Hii ndio tz bwana..ukipata nafas kula haswaaa
Kwa style hiyo nchi haitopiga hatua kamwe mkuu
Nan sasa aipigishe atua??watu wanakula hakuna kinachofanyika juu yao!!mm nikipata nafas full kula yaan mpaka vitukuu waikute hio mali...
Inabidi hii system ya Magamba wote waondoke ikiwezekana wateketezwe tu wazee wao hadi watoto zao yaani tunakimaliza kiini choteeee cha mafisadi