UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Mimi namzungumzia Fred Lowassa sio Edward Lowassa.

Kwano Fred hakuwa mwanachama wa CHADEMA?

Au kwa vile hakugombea uraisi hakupaswa kuhojiwa na chama?

Kama hakupaswa kuhojiwa huoni CCM watajitetea hivyo hivyo kwamba Fred na RA hawakuwa wagombea uraisi kupitia CHADEMA, Hivyo hawana wajibu wa kuwahoji au kuwawajibisha?
 
Yaani habari ya tangu 2015 umeikalia tu hadi leo. Tumempigia deki barabara mamvi na tukazungusha mikono hadi misuli ikauma wewe umengoja hadi mamvi ametuacha ndio unaitoa hii habari?
 
Yaani mimi nashangaa sana, ufisadi ni ufisadi tu uwe wa Magu au wa Kikwete,we have to question.Ilipostiwa zamani so what? Ufisadi wa zamani sio ufisadi? Issue kuna watu waliowajibishwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini imerudishwa baada ya Edo na familia yake including uyo Fred kurudi CCM?

Siku zote kaburi alikuwepo au liliota magugu?

Tusiwe vigeu geu na nakuakikishia ingekuwa Edo ajarudi CCM wangesema Mheshimiwa rais hana chuki na wafanyabiashara.

Akiwa kwao malaika akienda sehemu nyingine shetani.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani habari ya tangu 2015 umeikalia tu hadi leo. Tumempigia deki barabara mamvi na tukazungusha mikono hadi misuli ikauma wewe umengoja hadi mamvi ametuacha ndio unaitoa hii habari?
Hivi kumbe ndivyo hivi ccm mnavyo operate? Mavi ya kale hayanuki!😀
 
Hivi Fred na Edward siyo nafsi mbili tofauti? Yani macho yenu yamekufa kabisa hayamuoni tena RA maskini ya Mungu! Poor danganyika!
 
Unajua kwanini ilizimwa mkuu?

Kwasababu mhusika ya scandal wa ufisadi Edo na familia yake including uyo Fred walikuwa CDM.

Kwaiyo imerudi baada ya Edo kurudi CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema ni watakatishaji wa ufisadi
Chadema inahusika vipi kwenye hoja hii? Unaweza kuniwekea hiyo connection na mimi nipate kuwa enlightened?

Btw sikukuona kabisa kule kwenye thread ya Bank M, pamoja na kwamba nilikutag mara kibao lakini hukutokea! Kule ni RA tuu katoke. Mkayeyusha mkiombea thread ijifie zake! Kumbe nilikuwa nawatizama tu nasema hiiii!

Hapa mmekuja kwasababu kumeongezeka jina la Lowassa! Bulbs kwenye bongo zenu mbovu, kama vile saa mbovu ambapo huwa sahihi mara moja kwa siku, basi mkavamia hapa na kuanza kuhusisha jina la Lowassa na chadema!

“Wakikosa hoja, wanaleta viroja”- Mzee Mwanakijiji
 
Kama unakubali vodacom by small assumption wangeweza kugenerate 600B revenue kw hicho kipindi huyu Shivacom anatuhumiwa kuzalisha vocha in duplicates. Yani in layman language kama kimkataba alitakiwa kuzalisha vocha 10 yeye anafyatua 15 au zaidi tena halali si kapewa codes na vodacom kma super dealer. Akiuza anarudisha mauzo ya zile 10 kwa vodacom(ndo revenue ya voda), hzo 5 anawapiga.

Either way, utake usitake hii scandal zilipigwa hela nyingi mno tena in tune of billions, labda kwa sababu vyombo vyetu(Bunge, TRA,TCRA, FCC na wengineo) havikuwa na uwezo au weledi kumulika technicalities za hii industry haikupi uhalali wa kudown play eti wizi huu haupimiki or ni insignificant. Hata zingeibwa billioni 50 ni wizi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yamefichwa ama ni matokeo ya kuminya uhuru wa habari? We unadhani kupotea kwa Ben Saanane na wengine kuuwawa ni kwasababu gani? Ni ili wajinga kama wewe waendelee kubaki na ujinga wao wa wao waendelee kutafuna nchi.
Uhuru Wa habari umerudi sasa bila shaka......
Tanzania bila unafiki haiwezekani....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza Alphatel ya fred lowasa na planetel ya peter noni,hawana kosa,wao walipewa kazi na shivacom ya kudistibute voucher,
pili mkataba ulikuwa ni kati ya vodacom Tanzania na shivacom ya Tanil,
mkataba ulihusu voda kuipa shivacom mkataba wa miaka 10kuanzia 2008-2018 kusupply electronic recharge voucher,whatever that means,au pengine voda walitaka shivacom auze airtime electronically,siezi jua,
so shivacom ili sasa auze mda wa hewani akaanza kuprint zile vocha za jerojero na kuzipa kazi alphatel na planetel kusambaza wao wakiwa kama superdealer,
kumbuka zile pin number ni Voda wenyewe ndo walitoa,
sasa haingii akilini shivacom waliiba vipi,au kama shivacom walikosea kuprint na walitakiwa kuuza airtime electronically
 
2001 giogle haikuwepo? Mmh, google imeanza 1998

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ufumbuzi utapatikana leo baada ya Edo na familia yake including uyo Fred kurudi CCM?

Edo ameishi CDM takriban miaka mitatu na ushee atujawahi kusikia vocha jero jero wala buku buku.

Kama tunataka kupambana na ufisadi tusiwe na double standard huu sasa undumiwakuwili unatokea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii iliandaliwa na timu Maembe kabla ya Uchaguzi mkuu wa 2015 kwa leo hii waliopoona mambo yanawaendea mrama kisiasa wameanza kuyumba na kuona ni bora kufukua makaburi ya uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…