UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Subiri povu la ndumilakuwili Wa ufipa street a.k.a nyumbu....wanafiki at their best!
Wakiwa kwao wanaitwa mpango wa mungu wao wakitoka mafisadi, wakihamia kwao wanaitwa majiniazi wakienda kwa wenzao wamenunuliwa....hii ndio Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona Nchi viongozi wapo busy kuongea na baadhi ya makada wa upinzani wawe chama tawala jua Nchi ipo hovyo kuliko unavyodhania hakuna la maana la maendeleo watakalojadili zaidi ya nani aje nani atoke nimedharau sana mpaka Elimu zetu za juu...
 
Hii iliandaliwa na timu Maembe kabla ya Uchaguzi mkuu wa 2015 kwa leo hii waliopoona mambo yanawaendea mrama kisiasa wameanza kuyumba na kuona ni bora kufukua makaburi ya uongo.
Utakuwa haujitambui.
 
Teh teh teh!

Ila narudia tena sina chama chochote mkuu.

Isipokuwa naunganisha dot thread ya EPA na hii hapa kuhusu hao uliwataja leo nimegundua hasira za Edo na familia yake including uyo Fred kurudi CCM mkuu.

Surprisingly alivyokuwa CDM kwanini huu ufisadi ulizimwa mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema waliuzima huu ufisadi? Ngoja wadau wake wenye kufahamu vyema ni kwa jinsi gani waliuzima ufisadi huu!

Kama huna chama, simamia maslahi ya Taifa usiwe bias.
 
Yamefichwa ama ni matokeo ya kuminya uhuru wa habari? We unadhani kupotea kwa Ben Saanane na wengine kuuwawa ni kwasababu gani? Ni ili wajinga kama wewe waendelee kubaki na ujinga wao wa wao waendelee kutafuna nchi.
Binafsi mi naona watu waliowajinga ni wale waliomkaribisha mtu waliemwita fisadi aje agombee urais. Ama pale ndio nikahakikisha kua siasa ni unafiki tu. Yaani mlikubali kabisa yule mlomwita fisadi agombee urais? Njaa hatari na pesa kiboko.mliuza utu na chama kwa hela tu. Leo karudi kwao mnaanza kufukua makaburi
 
Tena kumbe kuna mtu aliye resign? FaizaFoxy ulidhani ikiungwa ndo hoja itakufa eeh?😀
 
Yanafidiwa mpaka leo!
 
Acha kulia lia.
 
Hii habari haikuwataja kina Rostam ndiyo maana kina FaizaFoxy wakataka iungwe? Certainly kuna utofauti!

Boss Maxence Melo ebu tizama hili suala! Uamuzi wowote nitaridhika nao mkishatizama hoja yangu. Thread yangu haifanani kimaidhui na hii hapa! Pia habari yake haiko detailed kama niliyoiweka kutoka whistleblower press!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…