Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,950
- 5,378
Subiri povu la ndumilakuwili Wa ufipa street a.k.a nyumbu....wanafiki at their best!Ufumbuzi utapatikana leo baada ya Edo na familia yake including uyo Fred kurudi CCM?
Edo ameishi CDM takriban miaka mitatu na ushee atujawahi kusikia vocha jero jero wala buku buku.
Kama tunataka kupambana na ufisadi tusiwe na double standard huu sasa undumiwakuwili unatokea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiwa kwao wanaitwa mpango wa mungu wao wakitoka mafisadi, wakihamia kwao wanaitwa majiniazi wakienda kwa wenzao wamenunuliwa....hii ndio Tz
Sent using Jamii Forums mobile app