Mimi sizungumzi kwa niaba ya chama chochote kile. Siyo kila mtu ni “Simba au Yanga”Baba na Mwana timu moja. Mnataka kutwambia kuwa hii ishu imegundulikana juzi tu baada ya Baba krudi nyumbani? au mliijua lakini mkataka kumlnda?
Kwa niaba ya umma nzima, ungewaelimisha waliotaka achaguliwe kuwa rais wa tanzania.Mimi sizungumzi kwa niaba ya chama chochote kile. Siyo kila mtu ni “Simba au Yanga”
Wao nadhani walipiga mahesabu ya kuingia ikulu wakataka wamtumie kwa minajili hiyo ya kisiasa!Kwa niaba ya umma nzima, ungewaelimisha waliotaka achaguliwe kuwa rais wa tanzania.
Nahisi EL ametumika kuuthibitishia umma kuwa hata wanaojiita wapinzani na kudai kutetea maslahi ya wananchi nao pia wana njaa tu inawasumbua.
Ndio njaa ya madaraka hio... What is next? Kutoa roho za watu ili tu mtu akalie urais na aanze kujilimbikizia mali?Wao nadhani walipiga mahesabu ya kuingia ikulu wakataka wamtumie kwa minajili hiyo ya kisiasa!
Wenye kutoa roho za watu ni ccm. And matter of fact, Wewe unadhani kwanini alisema anarudi nyumbani?Ndio njaa ya madaraka hio... What is next? Kutoa roho za watu ili tu mtu akalie urais na aanze kujilimbikizia mali?
Hata CDM wanatoa roho za watu kwa manufaa yao... Waliuza hadi utu wao kwa Mtu waliemwita Fisadi. Suala la yeye kurud nyumban inawezekana kazi yake CDM imekwishaWenye kutoa roho za watu ni ccm. And matter of fact, Wewe unadhani kwanini alisema anarudi nyumbani?
Hapa issue ni accountability mkuu. Hizo stories za vyama ni “mambo jambo”, blah blah!Hata CDM wanatoa roho za watu kwa manufaa yao... Waliuza hadi utu wao kwa Mtu waliemwita Fisadi. Suala la yeye kurud nyumban inawezekana kazi yake CDM imekwisha
Mabandiko yako yanaonyesha “you’re banking on distortions”Hapa main point ni kuwa vodacom wamemlipa fidia Shivacom,baada ya kukata mkataba kwa maneno ya majungu,hizi za Reza kuhongwa ni hisia za mtoa taarifa hapo juu,maana hakuna mtu aliona tanil akimpa Reza bilion 5
Wakumbushe CDM mbona walikaa kimya na kumpa Fisadi agombee urais? au Unakubali kuwa CDM na wao mambo jambo tu?Hapa issue ni accountability mkuu. Hizo stories za vyama ni “mambo jambo”, blah blah!
Huwezi kuacha kufuata sheria za nchi kwasababu chama flani kilifanya hivi ama vile. No one should be above the law!