UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

Baba na Mwana timu moja. Mnataka kutwambia kuwa hii ishu imegundulikana juzi tu baada ya Baba krudi nyumbani? au mliijua lakini mkataka kumlnda?
Mimi sizungumzi kwa niaba ya chama chochote kile. Siyo kila mtu ni “Simba au Yanga”
 
Kwa niaba ya umma nzima, ungewaelimisha waliotaka achaguliwe kuwa rais wa tanzania.

Nahisi EL ametumika kuuthibitishia umma kuwa hata wanaojiita wapinzani na kudai kutetea maslahi ya wananchi nao pia wana njaa tu inawasumbua.
 
Wao nadhani walipiga mahesabu ya kuingia ikulu wakataka wamtumie kwa minajili hiyo ya kisiasa!

Lakini hilo halijuatify wizi wa pesa za umma whatsoever!

Lazima wawepo wa kusema wasiojali siasa za vyama! Ukweli upatikane! Mwenye kuumia aumie. Who cares if it is for the National’s interests?
 
Wao nadhani walipiga mahesabu ya kuingia ikulu wakataka wamtumie kwa minajili hiyo ya kisiasa!
Ndio njaa ya madaraka hio... What is next? Kutoa roho za watu ili tu mtu akalie urais na aanze kujilimbikizia mali?
 
Wenye kutoa roho za watu ni ccm. And matter of fact, Wewe unadhani kwanini alisema anarudi nyumbani?
 
Hata CDM wanatoa roho za watu kwa manufaa yao... Waliuza hadi utu wao kwa Mtu waliemwita Fisadi. Suala la yeye kurud nyumban inawezekana kazi yake CDM imekwisha
 
Hapa main point ni kuwa vodacom wamemlipa fidia Shivacom,baada ya kukata mkataba kwa maneno ya majungu,hizi za Reza kuhongwa ni hisia za mtoa taarifa hapo juu,maana hakuna mtu aliona tanil akimpa Reza bilion 5
 
Hapa issue ni accountability mkuu. Hizo stories za vyama ni “mambo jambo”, blah blah!

Huwezi kuacha kufuata sheria za nchi kwasababu chama flani kilifanya hivi ama vile. No one should be above the law!
 
Mabandiko yako yanaonyesha “you’re banking on distortions”

Unakuja kuhandika vitu kwa lengo la kuchanganya watu wasielewe zaidi.

Huyo Meza aliwajibika kwasababu gani? Au ni kwavile heading ya threading ambayo ilimtaja imebadilika na Sasa ndo wakati wa kuandika uongo eti “Reza kuhongwa ni hisia za mleta mada”! How! Mleta mada ameonyesha wapi hisia zake? Au una lengo la kuchanganya watu?

Poleni.
 
Hapa issue ni accountability mkuu. Hizo stories za vyama ni “mambo jambo”, blah blah!

Huwezi kuacha kufuata sheria za nchi kwasababu chama flani kilifanya hivi ama vile. No one should be above the law!
Wakumbushe CDM mbona walikaa kimya na kumpa Fisadi agombee urais? au Unakubali kuwa CDM na wao mambo jambo tu?
 
Back
Top Bottom