UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal


Wenzako wameleta hoja hapo kuonyesha jinsi wizi ulivyofanyika,na katika article yote hiyo sijaona mahali CCM imetajwa.Kampuni zinazohusishwa na fraud ni zile ambazo si Rostam wala wenzake wanahusika.Kama Rostam ni shareholder wa vodacom ina maana kwa upande mmoja yeye ni mwathirika wa wizi huo maana wamemkosesha mapato.Ulisikia wapi mtu akajiibia mwenyewe?muda mwingine tuwe tunaufikirisha ubongo wetu kabla ya kukurupuka kuongelea vitu bila kutafakri.

Labda nikuulize katika hizo kampuni zilizotajwa,shivacom,planetel.Alphatel,wamiliki wake umewasoma hapo juu au umesoma juujuu tu?
 
Hapa anaetafutwa ni LOWASA tu, hakuna mwingine Urais huu, utamsababishia hata alieitunga mimba yake achunguzwe alitolea mbegu muda gani, ccm weeee kwisha habari yenu.
 

Usichangıe mada zınazohtaji advanced brain.Wewe nenda jukwaa la uhusiano na mapenzi.SHIVACOM NI YA NANI?
 
Kuna ufisadi zaidi ya huu ya mabilioni ya hela wanayokatwa wateja miaka nenda miaka rudi na wizara husika wanalijua hili ila nao kimya kwakuwa ni wanufaika wa wizi kwa vocha zetu.
Hawa jamaa ndio maana wanatumia pesa nyingi kuutaka urais wakijua wanaingia ikulu kufanya biashara. Hii timu ni ya kufilisi kabisa na kutupwa jela
 
 
Yaani hao Vodacom walikuwa hawafanyi reconciliation Ya mauzo Ya voucher na matumizi Ya wateja wao au ? Sijaaelewa au Ndio very sophiscated inside job ilihusika from finance dept to technical dept .

We hujaelewa story..soma tena
 
 
Hao ndio vodacom wazee wa jay million. Wanatoa milioni 100 kila siku na wenyewe mnaona kila siku wanamtangaza mshindi na sasa washafka watatu!!! Katika miezi miwili tu.
 
Usichangıe mada zınazohtaji advanced brain.Wewe nenda jukwaa la uhusiano na mapenzi.SHIVACOM NI YA NANI?

Sihitaji malumbano na wajinga,ambao siku zote akili zao wameshikiwa na watu wengine.go to hell
 

Kungekuwa na ukweli kama (angalau) ungekuwa na chembe ya maendeleo
 
Yaani hao Vodacom walikuwa hawafanyi reconciliation Ya mauzo Ya voucher na matumizi Ya wateja wao au ? Sijaaelewa au Ndio very sophiscated inside job ilihusika from finance dept to technical dept .

Nimejiuliza hilo swali sijapata jibu kweli. hiyo pesa wamekula wengi hapo Vodacom
 
Usichangıe mada zınazohtaji advanced brain.Wewe nenda jukwaa la uhusiano na mapenzi.SHIVACOM NI YA NANI?
Si ndo hapo mkuu! Hichi kijinga Nakapanya kinabishabisha kijingaa wakati hii ishu ndo inamfanya Lowassa amwage fedha za kuinunua ikulu kama kumwaga mchanga! Vijitu kama huyu Nakapanya dawa yao ni kuvinyongelea mbali! Na wakae wakijua kuwa Lowassa akiingia ikulu hii nchi haitatawalika na ndani ya siku chache tu kitaeleweka!
 
Last edited by a moderator:
Hapa serikali itasema ni fedha binasfi, hakuna makosa. Hata kama kuna kodi, TRA itaambiwa iwaandikie barua kuwataka walipe, na mambo yataishia hapo.Hii ndio TZ niijuayo
 
 
Nimetembelea hiyo blog iliyotoa hii habari, sijaona habari yoyote tofauti na zile zilizokuwa zinatoka kwenye magazeti ya ThisDay na kulikoni enzi zile. Kablog kamejaa kashfa za tanil somaiya tu! Hii habari imejaa hearsay na vitu vingi humo ndani haviwezekani. Kumbukeni kuwa huko SA vodacom ni listed company, haiendeswhi kienyeji enyeji kama mwandishi anavyodai kuwa CEO anaweza kupiga fraud kama hili kimyakimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…