Ufisadi katika fedha za uchangiaji wa faini za za viongozi wa CHADEMA

Hivi Polepole alitoa taarifa za michango na hela zilipatikanaje?
Lumumba pangeni mikakati ya uhamasishaji. Chadema itawatoa nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa zilizopo zinzonesha kuwa michango mikubwa inayotoka kwa wadhamini wa nje ya nchi wa chama cha Chadema imekua haiwekwi bayana kwani ni sehemu muhimu ya upigaji wa fedha.Michango hii inakadiriwa kuzidi kiwango kilichohitajika kwa ajili ya faini za viongozi hawa wa chama.
[emoji867]
Uchaguzi umekaribia pesa za maandalizi ya uchaguzi hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ni majizi na wafujaji wa pesa za wananchi, mfano trilioni 1.5 mpaka leo hazijulikani zipo wapi na bado kuna nyingine kama hizo zimepigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hivi Lugumi yupo?
Mkuu hivi Lugola amefungwa?
Mkuu hivi dege zinanunuliwa kwa shilingi ngapi?
Tupe majibu aya kwanza
 
Hakika Kama ndio ningekuwa mwenyekiti wenu ccm, ningefukuza vijana wore maana mnavichwa vya hovyooo. Kama aliyechanga hajaumia wewe mshikwa ... Umawashwa Nini??
 
Fools dont know when to stop!CCM ilishachutama sasa wewe unakuja kuipulizia upepo nyeti zionekane?
Lumumba mmejazana wajinga!
 

Lumumba huna Hoja dhaifu,Account zao Na za chama zilifungwa hata zisingefungwa utatoaje hela ukiwa jela? Undugu Na makamera wapi Na wap? Pole pole alienda kama ndugu wa nani?Hao ndugu walitumwa Na msigwa kuomba au walilazimishwa kuombwa?Hakuna jinai yeyeto sababu wananchi wamechanga Kwa mapenz yao wenyewe.Kuhusu madawa kulevya ingekuwa Kweli wasingepona kumbuka wanatafutiwa kila sababu ili chama kife wanakwepa viunz
 
Nilikua sijawaza hili kiongozi...kumbe utakatishaji huu ni kwa ajili ya uchaguzi?...Hivi PCCB na vyombo vingine vinaachia hili liishe hivi bila kulitolea jicho la pili?..Kila aliyechangia katika hili anatakiwa kuchunguzwa ili tuwe salama na pesa za utakatishaji
 
Roho ya kishetani kabisa. Mlitaka kuwafunga na sasa mnafuatilia hela utafikiri mlichanga.Kila mnapofanya Roho ya kishetani Mungu anawaumbua tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lete ushahidi...ELSE huu ni umbeya...maneno matupu..

Everyday is Saturday..................... 😎
 
Ndo maana hata rais kawashitukia,wanaotoka upinzani ndo anawapa uongozi,amegundua kuwa hawa wapiga vuvuzela waendelee na kazi hiyo maana ndo inayo wafaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah ww kweli ni kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…