Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Badala ya kuangalia maslahi mapana ya nchi wewe unaionea wivu CHADEMAHuu ndio wakati wa Chadema kurudi kwenye game.
PumbavuBadala ya kuangalia maslahi mapana ya nchi wewe unaionea wivu CHADEMA
Unajua kusoma?Tulia uandike vizuri, papara za nini?
Unaona akili zako sasaPumbavu
Ufisadi uliisha awamu ya JPM πππ.Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao.
Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma.
Aliweza kuwa na ukusanyaji madhubuti wa pesa za umma na zote zikatunzwa consolidated fund.
Leo hii pesa nyingi inakusanywa na tozo kibao lakini hakuna kinachoonekana juu ya mapato haya.
Huu ndio wakati wa Chadema kurudi kwenye game.
Chadema na ufisadi ni kitu kimoja ndiyo maana wakamsafisha LowasaMagufuli hakuthibiti ufisadi, bali alidhibiti wanaoweka ufisadi hadharani. Alihakikisha taarifa zinazotangazwa ni zile anazotaka wananchi wasikie na wananchi wanachotaka kusikia.
UFISADI NCHINI HAUKUWAHI KUDHIBITIWA Baada ya Awamu 1 Mwendazake alikuwa anarekebisha Takwimu za CAG unaikumbuka Ile Tril.1 5 Iliyomwondoa CAG?Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao.
Wakati wa hayati JPM alidhibiti mianya ya upotevu wa pesa za umma.
Aliweza kuwa na ukusanyaji madhubuti wa pesa za umma na zote zikatunzwa consolidated fund.
Leo hii pesa nyingi inakusanywa na tozo kibao lakini hakuna kinachoonekana juu ya mapato haya.
Huu ndio wakati wa Chadema kurudi kwenye game.
Propaganda mfuUfisadi uliisha awamu ya JPM πππ.
Na hiki ni nini? π
Yale mapato ambayo Magufuli alikusanya kwenye Plea bargain yalienda wapi ?Kwa namna Mapato ya Serikali yanaonekana kuwa hayatumiwi vyema ili hali Serikali inakusanya mapato mengi kupitia kodi, tozo na faini pia hata ada kibao.