UFISADI: The Making Of IPTL

UFISADI: The Making Of IPTL

Tusitarajie hata siku moja kupata umeme wa uhakika... Mabilionea hawa watahakikisha serikali yetu inabaki mifukoni mwao ili waendelee kuchuma kutoka kwenye kodi zetu...
 
Tusitarajie hata siku moja kupata umeme wa uhakika... Mabilionea hawa watahakikisha serikali yetu inabaki mifukoni mwao ili waendelee kuchuma kutoka kwenye kodi zetu...

ningelipewa kazi ya kuikoa Tanzania toka mikononi mwa mafisadi,ningeliomba kwanza nibadilishane wananchi na Ukraine,watz waende huko na wale wazungu waje hapa,hapo ningefanikisha kazi bila shida.
 
tunashukuru kwa taarifa hii ya kusikitisha,maana inaonyesha bado kuna kazi ya kufanya,Rushwa ni adui wa haki,lakini bado anaonekana bwana rushwa amezidi kuota miguu na hakamatiki tena
 
haya mambo yaliongelewa sana wakati wa mchakato wa urais mwaka 2005 kwamba mmoja wa wagombea ana mkono kwenye deal la IPTL lakini waandishi waliohongwa wakajaribu kuficha habari sasa nashangaa leo watu wakilalamika IPTL kulipwa hizo pesa wakati nani alishiriki inajulikana na wala hawajachukuliwa hatua yoyote
 
120billion hala za ugoro,Inamaana kuna watu hapo Wanapiga hela zaidi ya hizo hapo IPTL,matokeo yake wanatupandishia umeme ili waibe vizuri
 
haya mambo yaliongelewa sana wakati wa mchakato wa urais mwaka 2005 kwamba mmoja wa wagombea ana mkono kwenye deal la IPTL lakini waandishi waliohongwa wakajaribu kuficha habari sasa nashangaa leo watu wakilalamika IPTL kulipwa hizo pesa wakati nani alishiriki inajulikana na wala hawajachukuliwa hatua yoyote

Hata kama Watanzania wengetangaziwa unadhani wangapi wanajali. Mwacheni bwenga mwenzangu apige mkwanja wenye akili na kuumizwa na ufisadi hapa Tanzania ni wachache sana!
 
Dar es Salaam. The legal battle involving Independent Power Tanzania shareholders -- VIP Engineering and Marketing Company and Mechmar Corporation -- took a new turn earlier this month with the minority shareholder demanding $485 million (Sh776 billion) in damages from Standard Chartered Bank.

VIP Engineering and Marketing Company, which owns a 30 per cent stake in IPTL, has filed a civil suit in the Supreme Court of the State of New York, demanding a total of $485 million from SBC in damages it has suffered due to the bank's conversion of the firm's assets in IPTL.

Mechmar Corporation owns the remaining 70 per cent IPTL shares. Standard Chartered Bank Hong Kong is involved in the saga for being the project finance lender to IPTL. The Citizen has obtained copies that indicate that VIP officially filed a suit on 10 June, 2013 through New York-based attorneys Joel Miller and Christopher Provenzano.

The same was confirmed in Tanzania on 11 June, 2013 through a Notice, addressed to Standard Chartered Bank Tanzania, by an International Independent Consultant for VIP Engineering and Marketing, Mr James Rugemalira.

"VIP has commenced a civil suit in the Supreme Court of the State of New York against SBC seeking to recover damages of not less than $485 million which VIP has suffered and continues to suffer because of SCB's conversion of VIP's property rights in IPTL," says Mr Rugemalira in the letter that was also copied to the official receiver and provisional liquidator of IPTL and other relevant parties.

Also furnished with copies of the notice are the Attorney General of Tanzania, the Bank of Tanzania (BoT), Tanzania Electric Supply Company (Tanesco), Tanzania Revenues Authority (TRA), the Inspector General of Police (IGP), the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), Adept Chambers (Advocates), K & M Advocates, Mkono & Company Advocates and a string of other law firms.

According to Mr Rugemalira, the notice seeks to request SCBTZ to read and understand the basis and grounds of VIP's complaints against SBC. "VIP trusts that SBCTZ and others reading this Notice in copy may justifiably espouse VIP in its efforts to recover compensation for damages and the Corporate Assets of VIP which were and continue to be illegally converted by SBC," the Notice reads.

The suit, Mr Rugemalira says, is without prejudice VIP's rights and interests in any other actions in which the firm is party, either existing, pending or future cases in the court of law in the United Republic of Tanzania or in any other jurisdiction.

This is just one of the many cases involving IPTL's shareholders and the project lender. There are also legal battles involving the two shareholders.

In January 2009, the High Court of Tanzania ruled that the power producer be placed under receivership after a protracted legal battle between the two shareholders.

Consequently, there is an ongoing court case as Civil Revision Number 1 of 2012 before the Court of Appeal of Tanzania involving VIP Engineering and Marketing Company Limited and Mechmar Corporation. Late last year, the Court of Appeal of Tanzania nullified proceedings of the High Court, including the 2011 order that sought the winding up of IPTL over allegations of fraud and mismanagement.

The Court of Appeal panel, comprising Chief Justice Chande Othman and Justices January Msoffe and Edward Rutakangwa, declared in their 17 December ruling that the High Court committed some fatal irregularities in the conduct of impugned proceeding.

The Appeals Court also nullified all proceedings in cases number 49 of 2002 and 254 of 2003.

The panel then ordered that another judge of the High Court should hear the matter expeditiously, including challenges, if any, the competence of an application lodged by SCBHK Limited, seeking for appointment of an administrator for IPTL.

Both VIP and Mechmar say SCBHK is not the right creditor of IPTL. This is because SCBHK did purchase the debt from Danaharta – a body established in June 1998 by the Malaysian Government for the purpose of addressing the non-performing loans problem plaguing the banking system during the Asian financial crisis.

Hata mimi inanishangaza ,labda utawala huu ukiondoka tutakoma kusikia hadithi hizi !

Haiwezi kwisha,sababu hata hao vijana walioko ndani ya hiyo system wanaona sawa kwa taifa kuendelea lilivyo.Hawaoni sababu ya kwanini waache sasa kutetea uovu,ukiangalia kwenye hoja zao mara zote kushabikia uovu unaofanywa.

Haya yataisha labda mpaka pale MTANZANIA wa kawaida atakapoona umuhimu wa kuchagua viongozi bora na si bora viongozi wanaotembeza pesa kila kwenye chaguzi.
 
Tuliombeeni Taifa Laangamia Kwa Ufisadi!

Pale Ocean Road Hospital hivi sasa wagonjwa wamelazwa yapata mwezi wa pili sasa bila matibabu yoyote kama nilivyomsikia mbunge mmoja akilalamika Bungeni jana, Hawa wagonjwa wamebaki kama wafungwa wanaosubiri siku yao ya kunyongwa kwani hawapati nafuu wala dawa ya kuwadanganyia kwani sababu ni kuwa dawa hakuna na mashine ya mionzi imeharibika siku nyingi na serikali haina pesa ya kufanya matengenezo hayo, wakubwa wao wanapiga dili ndefu ndefu kama hizi na kuwaacha wagonjwa wajifie tu kwani si kipaumbele chao, Waandishi hebu jaribuni kufika pale Ocean Road muone wagonjwa waliokuwa Condemned na serikali yao labda kuwatembelea kwenu kunaweza kuwapatia unafuu ktk maumivu wanayopata kimwili na kiroho pia

Na ile ya How BOT was outsmarted...

Kwenye nchi ingine these guys would be shot and shot again until pronounced dead!

Ugumu wa maisha uliopo leo umesababishwa pia na wizi wao!
 
Nimepitia baadhi ya habari na kuona kuwa hii topic ni nyeti sana na inagusa mengi, kwa nini isijadiliwe:

YOTE haya yapo kwenye mtandao, where are the responsible people? Are they part of it?

A gift for you (members only can download it)
8yrs later, tunazunguka mbuyu tu!
Mkuu Invisible, hongera sana!, hili jambo la IPTL ulianza nalo mezi April, mwaka 2006!, leo miaka 8 baadaye ndio linawiva na kuonyesha dalili ya kuzaa matunda!.

Hongereni wote mliofanya juhudi hizi.

Pasco
 
Wewe unachekesha sana, hujitambui hata kidogo. Hizi hongera zako zimejaa unafiki wa hali ya juu na ushahidi wa kuthibitisha unafiki wako uliokithiri huu hapa.

Wanabodi,

Wakati taarifa ya uchunguzi ya PCCB na ile ya CAG kuhusu suala la IPTL, nimenote kumetokea too much sensationalism to dramatize ili ionekane its a very big deal!, na kwa vile escrow ilifunguliwa na BOT na fedha zilihifadhiwa BOT, na vivyo hivyo zilifunguliwa na BOT na kuchotwa kutoka BOT, hivyo wengi kudhani kuwa BOT, inahusika!. Baada ya kuzagaa uvumi kuwa eti Gavana wa BOT, alipewa kimemo kumuamuru arelease hizo funds!. OMG!, Wajameni, BOT haihusiki!.

Kutohusika kwa BOT ni kama unaujua msingi wa kufunguliwa escrow account, Gavana wa BOT, hakuhitaji memo ya mtu yoyote to release the funds!.

Escrow ni account ya mgogoro kati ya wanahisa, mgogoro umeisha, escrow inafungwa!, that was it!. Wengi wanadhani account ile ni ya serikali!, no!, na fedha zile pia sio za serikali ni za IPTL ambayo imelipwa malipo halali na Tanesco kwa mujibu wa Mkataba wao!.

BOT walifungua escrow kwa maelekezo ya serikali, kufuatia mgogoro wa sababu kulikuwa na kesi ya umiliki baina ya Tanesco na IPTL!. Kesi ilipoisha, Serikali ikaielekeza BOT kwa taarifa rasmi ya kimahakama kuwa kesi ya msingi imekwisha, role yao, iliishia pale! na walifanya walichopaswa bila kuhitaji memo ya mtu yeyete!.

Kama Tanesco wa kesi na IPTL, au Stan Chart nao wana kesi, hayo sasa ni ya kwao, BOT is less concerned!.

Kama Stan Chart as interested party, walipaswa kuomba kitu kinaitwa joinder ili kuunganishwa kwenye kesi ya msingi, ili uamuzi wa kesi ya msingi usije kuwaathiri!, kama hili lilifanyika, kisha BOT wakapokea uamuzi wa upande mmoja tuu wa serikali kuwa kesi imeisha bila kuzingatia hitaji la Stan Chart!, hapo ndipo BOT ingekuwa na liability!.

Hata kama ripoti za PCCB na taarifa ya CAG, zitabaini utapeli wa Singa Singa kwenye ununuzi wa 100% shares za IPTL, mwenye jukumu la kufanya due diligence kuhusu hiyo sale na transaction ni mahakama iliyokubali kuifuta kesi based on utapeli na sio BOT aliye release funds kwa maelekezo halali ya serikali.

Kufuatia suala hili kuwa a bit sensitive, nashauri, tupunguze sensationalism na ku dramatise hii issue!, tusubiri matokeo rasmi ya huo uchunguzi wa PCCB na Ripoti ya CAG!.

Pasco.

Tukumbushane Tuu!.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-na-ku-dramatize-bot-did-the-right-thing.html

Mkuu Invisible, hongera sana!, hili jambo la IPTL ulianza nalo mezi April, mwaka 2006!, leo miaka 8 baadaye ndio linawiva na kuonyesha dalili ya kuzaa matunda!.

Hongereni wote mliofanya juhudi hizi.

Pasco
 
Wewe unachekesha sana, hujitambui hata kidogo. Hizi hongera zako zimejaa unafiki wa hali ya juu na ushahidi wa kuthibitisha unafiki wako uliokithiri huu hapa.
Tukumbushane Tuu!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-na-ku-dramatize-bot-did-the-right-thing.html
Nimekusikia!.
Mtu akifanyiwa jambo jema, kasema asante, kutoa pole, au kumpongeza mtu kwa jambo jema, mwenye kujua for a certain kama hiyo pole, hongera au asante, ni genuine na inatoka moyoni, au ni just superficial just to pay lip services, ni "the giver!", not the "receiver!", hivyo mimi ambaye ni giver ndie ninayojua the genuinely ya pongezi zangu, na the receiver has the right to his or her opinion kuwa amepongezwa genuinely ama anasanifiwa tuu!.

Kama ilivyo ukiombwa msamaha, whether muombaji anajuta toka moyoni au anasema tuu samahani, cha muhimu ni sahani imetolewa, na msamehe ana uhuru wa kuipokea hiyo samahani na kusamahe toka moyoni au laa, hayo ni mambo ya moyoni!.

Hapa mimi nimepongeza, na kuna thread kabisa ya pongezi na hata wewe utajikuta umepongezwa, its not up to you kuzipokea pongezi, bali pongezi zimetolewa!, hata zikielea hewani ni pongezi!, hata usipozipokea, ni pongezi na zimetolewa!.

Hongera sana BAK!.

Pasco
 
Jitambue uwe unafikiri kwa kina kabla ya kuandika pumba Mzalendo fake. Hata kama njaa inakusumbua na hivyo kuwatetea wahuni na mafisadi kwa kubwabwaja povu zito, inafika mahali inabidi ujitambue na hivyo kujiweka pembeni na mbali na hawa wahuni na mafisadi badala ya kujiita eti mzalendo kumbe mzalendo fake. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kubwabwaja povu zito.

Uzalendo wa kweli, yaani patriotism unakaa ndani ya moyo wa mtu, nsa haupimwi kwa kukaa kimya, kuongea au kuandika, unapimwa kwa uchungu wa mapenzi ya dhati ya mtu kwa nchi yake!. Mimi na miongani mwa wale wazendo wachache kabisa wa nchi hii, ambaye niko tayari kulala njaa kuifia nchi yangu!. Ni lile kundi tulikwenda ulaya kujaribu maisha na kuacha kila kitu na kurudi nyumbani just for the love of mother nation!, na yote tunayoyafanya sasa ni mapenzi tuu ya nchi yetu!.

Uzalendo wangu mimi ndio ninaoujua na uko ndani ya moyo wangu, kama ndio unaupima kwa mabadiko yangu, endelea kujifariji ila uzalendo wa kweli na wa dhati hukaa moyoni, sio mdomini, sio machoni na wala sio kwenye mabandiko!

Pasco
 
Back
Top Bottom