Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusitarajie hata siku moja kupata umeme wa uhakika... Mabilionea hawa watahakikisha serikali yetu inabaki mifukoni mwao ili waendelee kuchuma kutoka kwenye kodi zetu...
haya mambo yaliongelewa sana wakati wa mchakato wa urais mwaka 2005 kwamba mmoja wa wagombea ana mkono kwenye deal la IPTL lakini waandishi waliohongwa wakajaribu kuficha habari sasa nashangaa leo watu wakilalamika IPTL kulipwa hizo pesa wakati nani alishiriki inajulikana na wala hawajachukuliwa hatua yoyote
Hata mimi inanishangaza ,labda utawala huu ukiondoka tutakoma kusikia hadithi hizi !8yrs later, tunazunguka mbuyu tu!
Hata mimi inanishangaza ,labda utawala huu ukiondoka tutakoma kusikia hadithi hizi !
Tuliombeeni Taifa Laangamia Kwa Ufisadi!
Nimepitia baadhi ya habari na kuona kuwa hii topic ni nyeti sana na inagusa mengi, kwa nini isijadiliwe:
YOTE haya yapo kwenye mtandao, where are the responsible people? Are they part of it?
A gift for you (members only can download it)
Mkuu Invisible, hongera sana!, hili jambo la IPTL ulianza nalo mezi April, mwaka 2006!, leo miaka 8 baadaye ndio linawiva na kuonyesha dalili ya kuzaa matunda!.8yrs later, tunazunguka mbuyu tu!
Mkuu Invisible, hongera sana!, hili jambo la IPTL ulianza nalo mezi April, mwaka 2006!, leo miaka 8 baadaye ndio linawiva na kuonyesha dalili ya kuzaa matunda!.
Hongereni wote mliofanya juhudi hizi.
Pasco
Nimekusikia!.Wewe unachekesha sana, hujitambui hata kidogo. Hizi hongera zako zimejaa unafiki wa hali ya juu na ushahidi wa kuthibitisha unafiki wako uliokithiri huu hapa.
Tukumbushane Tuu!.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-na-ku-dramatize-bot-did-the-right-thing.html
Nimekusikia!.
Mtu akifanyiwa jambo jema, kasema asante, kutoa pole, au kumpongeza mtu kwa jambo jema, mwenye kujua for a certain kama hiyo pole, hongera au asante, ni genuine na inatoka moyoni, au ni just superficial just to pay lip services, ni "the giver!", not the "receiver!", hivyo mimi ambaye ni giver ndie ninayojua the genuinely ya pongezi zangu, na the receiver has the right to his or her opinion kuwa amepongezwa genuinely ama anasanifiwa tuu!.
Kama ilivyo ukiombwa msamaha, whether muombaji anajuta toka moyoni au anasema tuu samahani, cha muhimu ni sahani imetolewa, na msamehe ana uhuru wa kuipokea hiyo samahani na kusamahe toka moyoni au laa, hayo ni mambo ya moyoni!.
Hapa mimi nimepongeza, na kuna thread kabisa ya pongezi na hata wewe utajikuta umepongezwa, its not up to you kuzipokea pongezi, bali pongezi zimetolewa!, hata zikielea hewani ni pongezi!, hata usipozipokea, ni pongezi na zimetolewa!.
Hongera sana BAK!.
Pasco
Uzalendo wa kweli, yaani patriotism unakaa ndani ya moyo wa mtu, nsa haupimwi kwa kukaa kimya, kuongea au kuandika, unapimwa kwa uchungu wa mapenzi ya dhati ya mtu kwa nchi yake!. Mimi na miongani mwa wale wazendo wachache kabisa wa nchi hii, ambaye niko tayari kulala njaa kuifia nchi yangu!. Ni lile kundi tulikwenda ulaya kujaribu maisha na kuacha kila kitu na kurudi nyumbani just for the love of mother nation!, na yote tunayoyafanya sasa ni mapenzi tuu ya nchi yetu!.Jitambue uwe unafikiri kwa kina kabla ya kuandika pumba Mzalendo fake. Hata kama njaa inakusumbua na hivyo kuwatetea wahuni na mafisadi kwa kubwabwaja povu zito, inafika mahali inabidi ujitambue na hivyo kujiweka pembeni na mbali na hawa wahuni na mafisadi badala ya kujiita eti mzalendo kumbe mzalendo fake. Kama huna la maana la kuandika kaa kimya badala ya kubwabwaja povu zito.