Ufisadi wa Sabaya: Mwenge wakataa mradi aliosimamia, Mabaunsa wake walikuwa Wajumbe wa Kamati

Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, Luteni Josephine Mwambashi amekataa kuweka jiwe la msingi kwenye kituo cha afya kilichopo wilayani Hai kwa madai kuwa ujenzi wa kituo hicho umegubikwa na rushwa...
Kufuatia hali hiyo, Kiongozi huyo wa mbio za mwenge kitaifa, ameagiza ofisi ya TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro wafanye uchunguzi, ili kama kuna ubadhirifu watu wote waliohusika wapewe haki yao ya kikatiba.!
[emoji817][emoji736]
 
Hakika tumechezewa vya kutosha! Wahuni walipewa ofisi kubwa za umma, ila Alham dull llah Mungu amefanya wepesi
Uwezo wako binafsi wa kuwashughulikia wapinzani kuwaumiza ikiwemo kumwaga damu zao Ili kuisujudia Sanamu kesho unapata teuzi
 
Ifike mahali uchoke kutetea Jambazi. Mama SSH so kwamba hana taarifa za kutosha kumpiga hili Jambazi chini. Jihadhari kutetea ujinga.
 
Mkuu, ni wazi unaonekana umekubali kwamba Sabaya ni tatizo, lakini ni kama vile unapata shida kuweka wazi, tunajua hiyo ni kwa sababu ya mapenzi kwa mwendakuzimu. Lakini umeeleweka.
Kiongozi wake wa mbio za mwenge,ameponda mradi wa huko,sasa yeye elitwege atasema nini

Ova
 
Mbowe hatasamehewa na watanzania kwa kitendo chake cha kuangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia amepigwa na wasiojulikana ili kumchafua mwendazake.

Uongo uongo tu
 
Duh hii kesi ingine na Itakuwa ya kwanza serikali kumshtaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…