C point kasimamisha gorofa tano na zinapanda kwa pamoja,yaan haka kajamaa kana hela nying sanaa,juz ndo usalama walikuwa wamepak magar njia ya kwao aliyoipiga zege ...ss iv atakuwa anahojiwa,na kama hakuwa na akili za kumpanga mtu kwa ajil ya hizo mali soon nae kitaumana