Mkuu umenichekesha sana.Ya akaunti ya benki, au?
Mkuu umenichekesha sana.Ya akaunti ya benki, au?
Mkuu umenichekesha sana.
Mbona hatujasikia ukicheka sana? Aghandi?
Tunatimiza wajibu mkuu maana kuonyesha appreciation ni uungwana pia.
Bona Bonge wa Clauds humfagilii? Anapanda mpaka migomba njiani bana.
Nikiripoti kutoka hapa Temeke NHC ni mimi ufo saroo wa itv.
Dada ni jembe
Jembe la mkono au trekta?
Jembe la trekta kwenye TV.