Ufoo Saru...

Ufoo Saru...

Funga kazi ni jamaa wa ITV anayeripoti michezo. Huyu anaitwa hemed kivuyo. Ngeli na nahau za kutosha kabisa.
 
Jana nimeona tangazo la kipindi TBC na msimamiaji ni Jerry Muro naona karudi kazini!!
 
Tunatimiza wajibu mkuu maana kuonyesha appreciation ni uungwana pia.

ni kweli dada anafanya vizuri, siongelei based on matukio anayoripoti maana yeye hatengenezi habari, ila nimewahi (at leans ones) kuona jinsi anavyojituma kwenye kazi.

na mimi nampongeza kwa hiyo mara moja niliyomuona akifanya kazi.
 
Mimi ile lafudhi yake banaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Ufoo Sarooooooooooooo!
 
Mungu akuponye upesi urejee kuitumikia jamii. My TV HAS TURNED BORING WITHOUT YOU UFOO SARO.
 
Back
Top Bottom