nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
Mbabani??? kwa nani?? zahwayo au mzee kaholwe??Kocha kazi yake ni "kusuka mfumo" kinachobaki ni utekelezaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbabani??? kwa nani?? zahwayo au mzee kaholwe??Kocha kazi yake ni "kusuka mfumo" kinachobaki ni utekelezaji.
Hapa uliandika ukiwa umetulia Sana..Good analysisHeko kwa Msemaji Ahmed Ally amejitahidi, ila kwa Siku zijazo awe na back up ya Mtu mwingine Maarufu, Mchangamshaji na mwenye Sauti ya Juu ya Kimatukio.
Golikipa Beno David Kakolanya ameimarika na Kukomaa vyema ila ajitahidi sana kufanyia Kazi 'Footwork' yake ambayo si nzuri na hata Mwenzake Aishi Manila analo tatizo hili japo Kwake siyo kwa sana.
Beki Mohammed Outarra sina cha Kumdai kwani ni Beki ambaye amekuja Kutibu tatizo Sugu la Simba SC la kutocheza vyema Mipira ya Juu ( Aerial Balls ) ambalo limekuwa likiigharimu kwa muda mrefu. Niseme tu Asante kwa Waliomsajili na nimemkubali 100% zote.
Beki Henock Inonga Baka nilishawahi Kumuandika hapa JamiiForums Kwanza Kukiri kuwa ni Beki Bora na mwenye Kipaji ila nilisema na leo narudia tena kusema kuwa arekebishwe na tabia yake ya Kujiamini kulikopitiliza, kupenda Sifa, Kudekadeka hovyo na kupenda Jukwaa kwa kufanya Upekee.
Henock Inonga Baka asiporekebishwa haraka nina uhakika ama katika Mechi ya Jumamosi na Yanga SC au zile za Klabu Bingwa atakuja Kutugharimu pakubwa na tutajuta.
Kijana Beki wa Kulia Israel Patrick Mwenda sijui mpaka leo kwanini bado yuko Simba SC kwani ameshindwa Kuimarika, anakamia mno na hana Umakini wa Kutosha.
Sioni sababu ni kwanini Mchezaji mahiri David Kameta Duchu tuliyemtoa kwa Mkopo Geita Gold FC ambaye amecheza vyema sana katika Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika harejeshwi Simba SC na tumebakia na Beki mbovu kama Israel Patrick Mwenda.
Kwa Mabeki Mahiri na Mafundi akina Kapombe na Tshabalala sina Deni nao kwani bado wapo vizuri na Ninawapenda zaidi.
Kama kuna Mchezaji wa Simba SC ambaye simkubali na nilishangaa kuona Yeye kabakishwa na Thadeo Lwanga kaachwa ni Saido Kanoute.
Kanoute hajui Kukaba na akikaba anakaba kwa Kucheza Rafu ( Faulo ) za Kijinga kama siyo Kipumbavu, anagombana hovyo na Marefa, Mbishi na anachoka ( Tenki linapungua ) mapema sana.
Mchezaji Okra anaonekana na Vitu vingi Mguuni na Kipaji kweli ila ameathirika na Presha ya kutaka kufanya makubwa ndani ya Simba SC kwa muda mfupi kitu ambacho ni Kigumu na with time atakuja Kuweza kufanya kile ambacho amekikamia kutaka kutufanyia wana Simba SC.
Mchezaji Sakho nadhani ni Sikio la Kufa kwani licha ya kuwa na Kipaji Kikubwa ila ni Mbinafsi ( Mchoyo ) na anapenda Chenga ambazo haziisaidii Timu bali zinamsaidia Yeye Binafsi na Utoto wake unaomsumbua. Akibadilika au akibadilishwa atakuja kuwa na Msaada mkubwa wa Ushindi kwa Simba SC yetu. Ana Mbwembwe nyingi zisizo na Faida kwa Klabu na Binafsi huwa ananiboa mno tu.
Mchezaji Okwa ( kutokea nchini Nigeria ) kama wana Simba SC wote tunajitambua basi huyu sasa ndiyo Mfalme mpya ndani ya Simba SC kwani ana Kila Kitu na ni bonge la 'Playmaker' na kwa Uchezaji wake atasumbua sana Uwanjani hasa sehemu ya Kiungo na Ushambuliaji ambayo ndiyo amebobea nayo na anaitendea vyema. Kwa Mpira mkubwa anaoucheza jana nilitamani muda wote awe anapelekewa Mpira ili afanye Maufundi ( Maudambwidambwi ) yake.
Mshambuliaji HATARI Moses Phiri niliyemfahamu Mimi Msimu uliopita alipokuwa Kwao nchini Zambia siyo huyu anayenipa MASHAKA kwa sasa.
Mshambuliaji Mzawa Habib Kiyombo namuona kama tu akirekebishwa hasa Kisaikolojia basi atakuja kuwa Tegemeo na Faida Kubwa katika sehemu ya Ushambuliaji.
Napenda Mikimbio yake, anavyojipanga, Nguvu zake na uwezo wake wa Kupiga Mashuti ya Kulenga Goli.
Mshambuliaji Kibu Denis anaendelea Kuimarika ila naomba tu asaidiwe jinsi ya kujua ni wapi atumie Nguvu na wapi atumie Akili kwani nimegundua ana tatizo Kubwa la kutokujua ni wapi avitumie Kiufasaha vyote hivi Viwili, ila ni Mchezaji muhimu na atatusaidia zaidi Simba SC hasa katika zile Mechi zinazohitaji 'Physical' hasa.
Mwisho nimesikitika sana kuona Wapumbavu fulani ambao wanasema ( wamesema ) kuwa Mzungu Mserbia Dejan Simba SC tumepigwa na kwamba si mzuri.
Sasa leo GENTAMYCINE nawaambieni msiojua Mpira kuwa kama kuna Mchezaji ambaye kama tu akipewa Ushirikiano mzuri na Wenzake, akiyazoea Mazingira ya Tanzania na Ligi yetu, akiaminiwa na asipofanyiwa Mambo ya Uswahili na Wenzake atakuja kuwa Msaada na Tegemeo ni huyu Mserbia Dejan.
Ana Nguvu, Kasi, Mpambanaji halafu anachonivutia ni kwamba hasimami sehemu moja, ana Pumzi na anaweza hadi Kushuka chini kuja kusaidia Kukaba na kuanzisha Mashambulizi.
All in all ni Usajili wa Matumaini ila ninachokiomba hasa kwa Uongozi wa Simba SC na wana Simba SC wote ni Umoja, Nguvu Moja na Ushirikiano mkubwa, Kujitoa na Kupambana kweli ndani na nje ya Uwanja hasa tukitambua kuwa Mpira ni Mchezo wa Vita isiyotumia Silaha za Moto.
Mikakati ya Ubingwa ianze sasa hivi!!!
Cc: Bila bila, Msanii, adriz
Mnafiki huyoPopoma huyu mzungu ndie alikufanya ukaanza kupayuka kama chizi wiki iliyopita, leo unamsifia kama katuni, jifunze kufunga mdomo wako.
Ingia Tena utaonaSijaona bhana
Yes Mbabani. Wote hao nawafahamu.Mbabani??? kwa nani?? zahwayo au mzee kaholwe??
Aisee kumbe mwanamke unajua fabo namna hii...sii tukuoe simba queensKwa sakho hapo ni kweli, yaan ni mtu anayetafuta mafanikio binafsi na sio kitimu. Hili nilishaona tangu msimu uliopita.
Huyu inatakiwa aambiwe ukweli, kuwa hapa yupo kwa team ko acheze kuisaidia team, sio kutafuta fame yake. Na hivi ni km mfalme ndani ya team, ndo anazidi kabisa ubinafsi. Inafika hatua team inakosa ufanisi na matokeo chanya
Inonga kujiamini kunakopitiliza itafika hatua ataigharimu team, penalty zisizo na mpango, au yeye kutolewa nje kwa Umeme.
Kanoute, huyu kaka namkubali sana, na hata kocha maki anamkubali, ndo maana alirudishwa, tatizo la huyu ni 1 tyuuh, anakamia mnoo afu anachoka mapema bas, ila vinginevyo yuko sahihi kwa mtazamo wangu lakini.
Ni hayo tyuuh.
Mashabiki ndio wanamponza zile mbwembwe zake alichomesha mechi za Azam hata ile ya Kirumba alichomesha (bahati nzuri halikufungwa goli )akajifanya kaumiaInonga anapenda sana sifa mpka anakera kuna kipindi anataka acheze na jukwaa na kuwafoka wenzake usela mavi
Popoma huyu mzungu ndie alikufanya ukaanza kupayuka kama chizi wiki iliyopita, leo unamsifia kama katuni, jifunze kufunga mdomo wako.
Yaani Genta ni mnafiki siyo! Kwa hiyo ndiyo kusema juzi kati tu hapa alikuwa anawatishia viongozi wake kumsajili Manzoki, badala ya huyo Mzungu!Mnafiki huyo
Eeh kumbe sio demu😲😲😲😲
OeeeYaani Genta ni mnafiki siyo! Kwa hiyo ndiyo kusema juzi kati tu hapa alikuwa anawatishia viongozi wake kumsajili Manzoki, badala ya huyo Mzungu!
Halafu leo baadavyavMzungu kucheza kwa dakika chache tu; tayari kamsahau Manzoki, na pongezi na sifa zote anazipeleka kwa Mzungu yule yule aliyemponda hapo kabla!
Hajitambui huyoYaani Genta ni mnafiki siyo! Kwa hiyo ndiyo kusema juzi kati tu hapa alikuwa anawatishia viongozi wake kumsajili Manzoki, badala ya huyo Mzungu!
Halafu leo baadavyavMzungu kucheza kwa dakika chache tu; tayari kamsahau Manzoki, na pongezi na sifa zote anazipeleka kwa Mzungu yule yule aliyemponda hapo kabla!
Hujawahi kuniangusha Kwa uchambuzi ulioshiba. Lakini kuna Mtu umemuacha na Mimi ni shabiki wake mkubwa lakini Jana kaniangusha vibaya. Victor Akpan. Huyu jamaa ana nguvu na akili za wastani, ana mwili unaotosha Kwa vurugu za dimba la chini lakini namuona kama ameathiriwa na maneno ya Kocha kumkataa wakati amesajiliwa juzi tu. Anatakiwa kujua anachezea timu kubwa na pia ni mchezaji wa kulipwa (professional). Kiwango alichoonyesha Jana bado ana kazi kubwa ya kuwaonyesha mashabiki na walimu wake kwamba anafaa kuwa hapo vinginevyo ajiandae Kwa mkopo January 2023.Heko kwa Msemaji Ahmed Ally amejitahidi, ila kwa Siku zijazo awe na back up ya Mtu mwingine Maarufu, Mchangamshaji na mwenye Sauti ya Juu ya Kimatukio.
Golikipa Beno David Kakolanya ameimarika na Kukomaa vyema ila ajitahidi sana kufanyia Kazi 'Footwork' yake ambayo si nzuri na hata Mwenzake Aishi Manila analo tatizo hili japo Kwake siyo kwa sana.
Beki Mohammed Outarra sina cha Kumdai kwani ni Beki ambaye amekuja Kutibu tatizo Sugu la Simba SC la kutocheza vyema Mipira ya Juu ( Aerial Balls ) ambalo limekuwa likiigharimu kwa muda mrefu. Niseme tu Asante kwa Waliomsajili na nimemkubali 100% zote.
Beki Henock Inonga Baka nilishawahi Kumuandika hapa JamiiForums Kwanza Kukiri kuwa ni Beki Bora na mwenye Kipaji ila nilisema na leo narudia tena kusema kuwa arekebishwe na tabia yake ya Kujiamini kulikopitiliza, kupenda Sifa, Kudekadeka hovyo na kupenda Jukwaa kwa kufanya Upekee.
Henock Inonga Baka asiporekebishwa haraka nina uhakika ama katika Mechi ya Jumamosi na Yanga SC au zile za Klabu Bingwa atakuja Kutugharimu pakubwa na tutajuta.
Kijana Beki wa Kulia Israel Patrick Mwenda sijui mpaka leo kwanini bado yuko Simba SC kwani ameshindwa Kuimarika, anakamia mno na hana Umakini wa Kutosha.
Sioni sababu ni kwanini Mchezaji mahiri David Kameta Duchu tuliyemtoa kwa Mkopo Geita Gold FC ambaye amecheza vyema sana katika Ligi Kuu ya NBC iliyomalizika harejeshwi Simba SC na tumebakia na Beki mbovu kama Israel Patrick Mwenda.
Kwa Mabeki Mahiri na Mafundi akina Kapombe na Tshabalala sina Deni nao kwani bado wapo vizuri na Ninawapenda zaidi.
Kama kuna Mchezaji wa Simba SC ambaye simkubali na nilishangaa kuona Yeye kabakishwa na Thadeo Lwanga kaachwa ni Saido Kanoute.
Kanoute hajui Kukaba na akikaba anakaba kwa Kucheza Rafu ( Faulo ) za Kijinga kama siyo Kipumbavu, anagombana hovyo na Marefa, Mbishi na anachoka ( Tenki linapungua ) mapema sana.
Mchezaji Okra anaonekana na Vitu vingi Mguuni na Kipaji kweli ila ameathirika na Presha ya kutaka kufanya makubwa ndani ya Simba SC kwa muda mfupi kitu ambacho ni Kigumu na with time atakuja Kuweza kufanya kile ambacho amekikamia kutaka kutufanyia wana Simba SC.
Mchezaji Sakho nadhani ni Sikio la Kufa kwani licha ya kuwa na Kipaji Kikubwa ila ni Mbinafsi ( Mchoyo ) na anapenda Chenga ambazo haziisaidii Timu bali zinamsaidia Yeye Binafsi na Utoto wake unaomsumbua. Akibadilika au akibadilishwa atakuja kuwa na Msaada mkubwa wa Ushindi kwa Simba SC yetu. Ana Mbwembwe nyingi zisizo na Faida kwa Klabu na Binafsi huwa ananiboa mno tu.
Mchezaji Okwa ( kutokea nchini Nigeria ) kama wana Simba SC wote tunajitambua basi huyu sasa ndiyo Mfalme mpya ndani ya Simba SC kwani ana Kila Kitu na ni bonge la 'Playmaker' na kwa Uchezaji wake atasumbua sana Uwanjani hasa sehemu ya Kiungo na Ushambuliaji ambayo ndiyo amebobea nayo na anaitendea vyema. Kwa Mpira mkubwa anaoucheza jana nilitamani muda wote awe anapelekewa Mpira ili afanye Maufundi ( Maudambwidambwi ) yake.
Mshambuliaji HATARI Moses Phiri niliyemfahamu Mimi Msimu uliopita alipokuwa Kwao nchini Zambia siyo huyu anayenipa MASHAKA kwa sasa.
Mshambuliaji Mzawa Habib Kiyombo namuona kama tu akirekebishwa hasa Kisaikolojia basi atakuja kuwa Tegemeo na Faida Kubwa katika sehemu ya Ushambuliaji.
Napenda Mikimbio yake, anavyojipanga, Nguvu zake na uwezo wake wa Kupiga Mashuti ya Kulenga Goli.
Mshambuliaji Kibu Denis anaendelea Kuimarika ila naomba tu asaidiwe jinsi ya kujua ni wapi atumie Nguvu na wapi atumie Akili kwani nimegundua ana tatizo Kubwa la kutokujua ni wapi avitumie Kiufasaha vyote hivi Viwili, ila ni Mchezaji muhimu na atatusaidia zaidi Simba SC hasa katika zile Mechi zinazohitaji 'Physical' hasa.
Mwisho nimesikitika sana kuona Wapumbavu fulani ambao wanasema ( wamesema ) kuwa Mzungu Mserbia Dejan Simba SC tumepigwa na kwamba si mzuri.
Sasa leo GENTAMYCINE nawaambieni msiojua Mpira kuwa kama kuna Mchezaji ambaye kama tu akipewa Ushirikiano mzuri na Wenzake, akiyazoea Mazingira ya Tanzania na Ligi yetu, akiaminiwa na asipofanyiwa Mambo ya Uswahili na Wenzake atakuja kuwa Msaada na Tegemeo ni huyu Mserbia Dejan.
Ana Nguvu, Kasi, Mpambanaji halafu anachonivutia ni kwamba hasimami sehemu moja, ana Pumzi na anaweza hadi Kushuka chini kuja kusaidia Kukaba na kuanzisha Mashambulizi.
All in all ni Usajili wa Matumaini ila ninachokiomba hasa kwa Uongozi wa Simba SC na wana Simba SC wote ni Umoja, Nguvu Moja na Ushirikiano mkubwa, Kujitoa na Kupambana kweli ndani na nje ya Uwanja hasa tukitambua kuwa Mpira ni Mchezo wa Vita isiyotumia Silaha za Moto.
Mikakati ya Ubingwa ianze sasa hivi!!!
Cc: Bila bila, Msanii, adriz
Kuhusu kocha nadhani Jana aliruhusu Kila mchezaji aonyeshe kipaji na si mafundisho. Lakini kama ndo mfumo wake basi aanze upya maana Wachezaji hawakumuelewa kabisa matokeo yake kipindi cha pili kocha alikuwa Clotius Chota Chama.Kocha big NO
Akpan big NO