Ufuatao ni 'Mjumuisho' wangu wa 'Kiuchambuzi' baada ya kuiona Simba SC jana katika 'Simba Day' yao

Credit kwako Genta! Uchambuzi mzuri sana.

Kuongezea kidogo:-
1. Aliye karibu na benchi la ufundi la Simba awaambie kabisa wamwambie Inonga kuwa bado hajawajua vizuri mashabiki wa Tanzania. Siku akifungisha na hasa iwe mechi ya "derby " ndiyo atajua hajui kwani hao hao wanaomwimba leo ndio siku hiyo watamtukana na kuiona Simba na Tanzania chungu. Itokee tu bahati mbaya afungishe kwa sababu mpira ni mchezo wa makosa lakini kama ikitokea ni makosa kwa sababu ya hizo "turn" zake ili apewe sifa wakati ni mtu wa mwisho basi shauri yake. Akumbuke kuwa wapo wachezaji wenye akili wameshamsoma kwa hiyo ni suala la timing tu. Siku zote beki hasifiwi kwa hiyo ni bora awe anatoa mipira nje ili timu ijipange kuliko "risk" anayobeba wakati huo yeye ndio mtu wa mwisho. Ikibidi benchi la ufundi limtafutie "clip" ya kipa wa Colombia Rene Higuita VS Roger Miler kuna kitu Inonga atajifunza .
2. Mwenda inaonekana kuna mtu mzito sana pale Simba anambeba. Duchu amemzidi sana huyo dogo. Lakini hata akibebwa vipi ipo siku tu itatokea mechi kubwa halafu Kapombe majeruhi hapo labda benchi la ufundi lijiongeze kumtumia Erasto au kiraka Kapama.
3. Kanoute kila siku uwezo wake unazidi kupungua na sasa inaonekakana jezi ya Simba ni kubwa sana kwake. Zile rafu zake sio "technical" kabisa kama alizokuwa anacheza Lwanga. Kwa hiyo kadi zitamhusu sana.
4. Akpan kama vile alipaniki mashabiki wa Simba wampe muda huenda labda atatulia. Kwa vibe lile inahitaji mchezaji atulize kichwa sana.
5. Sakho bado ana utoto mwingi anatakiwa aambiwe ukweli acheze "team work" aache kucheza na jukwaa.
6 Kiyombo alikuwa anahama sana katikati kiasi mabeki wa St. George wakawa hawana kazi ngumu na mipira ikija unakuta yeye yupo "out of position". Angetumia muda mwingi kukaa katikati nina hakika angepata goli kama sio magoli.
7. Chama ameanza kurudi enzi zake, mzungu yupo fresh, Okwa utulivu wa hali ya juu sana mpira ukiwa miguuni kwake, Okra naona kama vile na yeye "vibe ' lilimchanganya kwa kiasi fulani ila ana kitu mguuni, Phiri nahitaji kumuona akicheza muda mrefu, Muzamiru na Mkude walijitahidi kwa kiasi chao.

Mapungufu makubwa niliyona kwa Simba jana ni ukabaji pale katikati kwani mabeki wa kati walikuwa wanafikiwa kirahisi sana. Inabidi benchi la ufundi lifanyie kazi mapungufu hayo.
 
Hii style yako hii...haya bana..!!
 
Upo sahihi 100%
 
Baada ya tarehe 13 utakuja kuwatukana hapa kwa kipigo watakachopata.
 
Japo haongelewi sana ila Banda naona kunajambo anataka kulionyesha kocha ampe nafasi tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba queens tena??
Ukienda kwa wanaume watakugegeda mrembo na wanajua kuioelekea moto mbususu utanogewa utashindwa kazi
 
Tunasubiri zile nondo ulisema utaziachia baada ya simba kusajili mzungu
 
Ukienda kwa wanaume watakugegeda mrembo na wanajua kuioelekea moto mbususu utanogewa utashindwa kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Uchambuzi swaaaafiiiiii kbs .

Hapo kwa mzungu niliwaambia mashabiki wa simba kuwa akichezeshwa mbele chama huyo jamaa atang'ara sana
 
Mimi bila Manzoki kuja Simba siwezi ku coment chochote. Hata sasa sicoment kitu.
 
Legend GENTAMYCINE. Uchambuzi bora kabisa.
 
Inonga kawagharimu kweli 😂😂😂😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…