Ufugaii Nguruwe vs ufugaji Kuku

Ufugaii Nguruwe vs ufugaji Kuku

Mkuu, mwezi wa 12 ndo huu
Kweli uko serious mkuu,
Nilifuatilia wiki hii nimevunjwa moyo inaonekana jamaa amewauza anadai nisubiri wapo wengine wanye mimba,wapo wengine ambao nataka nikawaone,japo sijawapenda kwakua wazazi wao ni aina moja ie baba kambo na mama kambo.
Mbegu nzuri inapendeza ikichanganywa na durock kwani durock anakua haraka sana na ananyama nyingi.
Nitakapowaona kama watakuwa wazuri nitakujulisha.
 
Mtoa mada fuga nguruwe, wanakula kila kitu Hadi charger mbovu za kuchajia simu, simu mbovu na betri chakavu. Huwezi kuhangaika misosi. Utakuja kunishukuru.
 
Me nionavyo mtaani wauza vitimoto wanaangalia tu bei ya soko kwa kilo na hata walaji pia, mara nyingi wateja wake huwa hawachagui aina(kienyeji au pure) wao ni mradi kitimoto. Sasa humu naona watu wanakatishana tamaa kwa kuleta majibu ya kiprofessional zaidi wakati wajasiriamali wengi humu ndo wanataka kuanza ufugaji, mitaji waliyonayo ni midogo hivyo hata plans unayotoa zingatia hilo na sio kuwapa mambo ya budgets kubwa.

Mfano; wengi mitaji inarange laki1 hadi Mil1, anakuja kuomba mawazo mtu anampa expensive options mf Nguruwe kinda 1= 200,000 au 1mil, mnataka watu watumie mtaji wote kununua nguruwe mmoja au!!?🙄

Then akitokea mtu anayetoa cheap plan...diss zinakuwa nyiingi.

Kwa upande wa nguruwe ni bora kwenda kwa cheap options(mfano kinda=50,000) maana kwa sasa soko la nguruwe wateja wengi hawachagui aina bali wao wanajua bei ya kilo mbichi ni 6,000s basi, mfugaji kujiongezea cost of production kwa sifa ya kutafuta quality ni unneccesary kwa soko la kitimoto.

Kwa upande wa kuku aina gani ufuge na tofauti ya gharama za uzalishaji ni chaguo lako na soko lako tu kwani both option ni nzuri maana wateja wa kuku sada tayari wanauelewa na bei za kila aina ya kuku. Hivyo kuchukua option ya kufuga kuku broiler au wa kienyeji haitadhuru faida yako ukiachilia mbali wigo wa soko lako.
 
Kwanza nianze kwa kusema si diss mawazo yako kama unavyodhani ila tunaeleweshana namna bora ya ufugaji wenye tija.

Pia siungi mkono bei kubwa za mbegu za kisasa na kimsingi haya ni mapungufu ya taasisi zetu za kilimo kama SUA,RITI etc hawa walitakiwa waandae hizi mbegu ili wananchi wazipate kwa bei nzuri kutoka kwao.

Kwa maono yangu bado hujaelewa sababu ya kwanini ufuge mbegu bora ya nguruwe.Wewe unadhani issue ni ubora wa nyama kwamba nyama ya nguruwe wakisasa labda iko tofauti na nguruwe wakienyeji.

Kikubwa tunafuga ili tupate faida na ni ukweli usiopingika kwamba nguruwe wakisasa anakua haraka zaidi ukilinganisha na nguruwe wakienyeji hivyo tija ni kubwa zaidi ukilinganisha na nguruwe wakienyeji.

Kingine zipo mbegu za nguruwe wakisasa hazina asili ya mafuta hivyo hupelekea nyama kuwa nyingi zaidi ukilinganisha na wakienyeji.

Nakupa mfano wa rafiki yangu juzi amechinja nguruwe wakisasa wenye umri miezi7 na katika wote waliochinjwa nguruwe alietoa kilo chache ametoa 50kg lakini waliobaki wametoa 60kg-70kg jambo ambalo kwa nguruwe wakienyeji hio haiwezikani.

Najilinganisha na Mimi mwenye nguruwe wa miezi 6 licha ya matunzo mazuri lakini wanawastani wa 34kg na kumbuka Chakula walichokula ni kiwango sawa na nguruwe wakisasa.

Hivyo majibu mepesi ni kwamba upo umuhumu wakutumia mbegu za kisasa kwenye ufugaji ili kuongeza tija zaidi.
 
Habari wanaJF,

Ni ufugaji upi unaoweza nipatia faida kwa haraka zaidi kati ya ufugaji wa Nguruwe na ufugaj wa Kuku?

Naombeni na sababu Wana jamvi

Fuga kuku, ufugaji wa nguruwe kwa ajili ya nyama ni haramu.
 
Kwanza nianze kwa kusema si diss mawazo yako kama unavyodhani ila tunaeleweshana namna bora ya ufugaji wenye tija.

Pia siungi mkono bei kubwa za mbegu za kisasa na kimsingi haya ni mapungufu ya taasisi zetu za kilimo kama SUA,RITI etc hawa walitakiwa waandae hizi mbegu ili wananchi wazipate kwa bei nzuri kutoka kwao.

Kwa maono yangu bado hujaelewa sababu ya kwanini ufuge mbegu bora ya nguruwe.Wewe unadhani issue ni ubora wa nyama kwamba nyama ya nguruwe wakisasa labda iko tofauti na nguruwe wakienyeji.

Kikubwa tunafuga ili tupate faida na ni ukweli usiopingika kwamba nguruwe wakisasa anakua haraka zaidi ukilinganisha na nguruwe wakienyeji hivyo tija ni kubwa zaidi ukilinganisha na nguruwe wakienyeji.

Kingine zipo mbegu za nguruwe wakisasa hazina asili ya mafuta hivyo hupelekea nyama kuwa nyingi zaidi ukilinganisha na wakienyeji.

Nakupa mfano wa rafiki yangu juzi amechinja nguruwe wakisasa wenye umri miezi7 na katika wote waliochinjwa nguruwe alietoa kilo chache ametoa 50kg lakini waliobaki wametoa 60kg-70kg jambo ambalo kwa nguruwe wakienyeji hio haiwezikani.

Najilinganisha na Mimi mwenye nguruwe wa miezi 6 licha ya matunzo mazuri lakini wanawastani wa 34kg na kumbuka Chakula walichokula ni kiwango sawa na nguruwe wakisasa.

Hivyo majibu mepesi ni kwamba upo umuhumu wakutumia mbegu za kisasa kwenye ufugaji ili kuongeza tija zaidi.
Wait a minute..yani miezi zaidi ya sita..ukija kuchinja nguruwe mmoja unapata laki 4..mbona ni changamoto sana..mana hata gharama za matunzo na chakula zinazidi hiyo bei..

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza nianze kwa kusema si diss mawazo yako kama unavyodhani ila tunaeleweshana namna bora ya ufugaji wenye tija.

Pia siungi mkono bei kubwa za mbegu za kisasa na kimsingi haya ni mapungufu ya taasisi zetu za kilimo kama SUA,RITI etc hawa walitakiwa waandae hizi mbegu ili wananchi wazipate kwa bei nzuri kutoka kwao.

Kwa maono yangu bado hujaelewa sababu ya kwanini ufuge mbegu bora ya nguruwe.Wewe unadhani issue ni ubora wa nyama kwamba nyama ya nguruwe wakisasa labda iko tofauti na nguruwe wakienyeji.

Kikubwa tunafuga ili tupate faida na ni ukweli usiopingika kwamba nguruwe wakisasa anakua haraka zaidi ukilinganisha na nguruwe wakienyeji hivyo tija ni kubwa zaidi ukilinganisha na nguruwe wakienyeji.

Kingine zipo mbegu za nguruwe wakisasa hazina asili ya mafuta hivyo hupelekea nyama kuwa nyingi zaidi ukilinganisha na wakienyeji.

Nakupa mfano wa rafiki yangu juzi amechinja nguruwe wakisasa wenye umri miezi7 na katika wote waliochinjwa nguruwe alietoa kilo chache ametoa 50kg lakini waliobaki wametoa 60kg-70kg jambo ambalo kwa nguruwe wakienyeji hio haiwezikani.

Najilinganisha na Mimi mwenye nguruwe wa miezi 6 licha ya matunzo mazuri lakini wanawastani wa 34kg na kumbuka Chakula walichokula ni kiwango sawa na nguruwe wakisasa.

Hivyo majibu mepesi ni kwamba upo umuhumu wakutumia mbegu za kisasa kwenye ufugaji ili kuongeza tija zaidi.
60kg kwa bei ya 6000 bado ni faida kidogo sana, that's why wafugaji wa hizo mbegu za kisasa wanalazimisha kuuza mbegu kwa bei za juu sana badala ya uuzaji wa nyama, lkn pia wafugaji wapya wengi hawawezi kuafford hizo bei japo wanazihitaji. Binafsi bado naona soko la nguruwe wa kisasa pia lina changamoto kubwa sana.
 
Kama 60kg kwa nguruwe wa miezi 6 hakuna faida,sasa unazungumziaje 35kg kwa nguruwe wakienyeji mwenye miezi sita?
Kuhusu biashara ya mbegu ni kweli faida ni kubwa kuliko nyama na hii si kwa nguruwe tu bali kwa mnyama ama mmea wowote,mbegu inalipa.
Chukua mfano rahisi wa mahindi 1kg ya mahindi soko la kibaigwa leo ni tsh550 lakini mbegu ya mahindi aina ya meru ni tsh6500/1kg.
 
60kg kwa bei ya 6000 bado ni faida kidogo sana, that's why wafugaji wa hizo mbegu za kisasa wanalazimisha kuuza mbegu kwa bei za juu sana badala ya uuzaji wa nyama, lkn pia wafugaji wapya wengi hawawezi kuafford hizo bei japo wanazihitaji. Binafsi bado naona soko la nguruwe wa kisasa pia lina changamoto kubwa sana.
Mkuu nyie mnapiga hesabu gani, Yani kama hapo unasema faida ndogo utauza kweli biashara ya jumla mfano kitu unanunua 5000 we unauza 5100? Alafu ili useme faida ni ndogo sana unajua cost alizotumia huyo nguruwe hadi kuchinjwa? Je kama katika hiyo laki 3 ye amekula laki 1 napo utasema faida ni ndogo? Na watu hawauzi hivo utazani unauza nguo, unachofanya unakuwa na nguruwe kama 10 ambao kwa pamoja ndio unaingiza sokoni, let's say kila baada ya mwezi 1 kuna nguruwe 10 unauza ata kila nguruwe ukipata faida ya laki 1 ukishatoa gharama za uendeshaji we una hasara gani?
 
Me nionavyo mtaani wauza vitimoto wanaangalia tu bei ya soko kwa kilo na hata walaji pia, mara nyingi wateja wake huwa hawachagui aina (kienyeji au pure) wao ni mradi kitimoto..
Mkuu,
Kwani kuna kitimoto ya kienyeji?
 
Back
Top Bottom