Ufugaji na kilimo unalipa sana

Tafadhali naomba unijuze blogs zinazohusiana na kilimo
uzijuazo wewe.
Ubarikiwe mkuu
 

abari za leo Kiongozi, pamoja na kuwa hii testimonial ni ya muda lakini nahitaji muongozo wako kwenye kilimo hapo Morogoro, kwa upande wa kukodisha, mazao, maeneo mazuri, kwa kifupi nina maswali kadhaa ambayo wewe ndiye utaweza kunisaidia kabla sijaingia morogoro. Nahitaji namba yako ya simu. Nakutakia siku njema.
 
Malafyalep habari Ndugu, na hongera sana kwa kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji, & pia asante sana kwa hii elimu uliyotugawia, kweli imekuwa chachu na msaada mkubwa kwa wengi wetu. Mimi kaka naomba kujua kama una uzoefu na Mashamba ya kisarawe. Nina shamba ambalo halijalimwa, na ningependa kuanza na kilimo, then ufugaji. Je kutayarisha tu shamba peke yake inaweza nicost sh....ngapi kwa eka?, mbegu na upandaji je?. Na ni Mazao gani unafikiri yanaweza kukubali katika eneo hilo. Mimi si mjuzi wa Shamba hivyo,ingawa ningependa kijaribu, na msaada wako na wa wengine wenye, uzoefu humu ndani utanisaidia sana. Nitangulize shukrani zangu. Ubarikiwe.
 
Nakupataje mkuu ili tuweze kushare ili nami nifaidike ingawa nimechelewa sana!!! Ila kuna usemi better late than never!!! Naomba contact tuwasiliane kwa simu ili niweze kujifunza.
 
MalafayaleP hongera sana. Nimefungua attachment zako mambo ni mazuri sana.
 
With ekari 100 mimi naacha na kazi ya kuajiriwa aisee. Big up brother.
 
Mkuu sasa hivi Rufiji ekari moja inatembea kiasi gani!?
 
Mkuu vp bado unaendelea na project za kilimo? Vp maebdeleo kwa sasa? Tunatamani kusikia kutoka kwako mkuu
 
Ndio.Hii project ndio inatuweka mjini.Tumepanua zaidi.Tunauza hadi nguruwe wenye mimba sasa
 
dah mkuu kiukweli unanihamasisha sana.
big up sana bro itabidi nikutafute nije nijifunze zaidi.
na mm nikianza na heka hata mbili nadhani si mbaya.
 
Hata mimi nitakutafuta very soon unipe utaalam mheshimiwa Chief wa Wanyakyusa.ubarikiwe kwa upendo wako umejitoa kutuelimisha!.
 
kama nakuona mukesh amban wa miaka 5 ijayo..big up mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…