Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali naomba unijuze blogs zinazohusiana na kilimo
uzijuazo wewe.
Ubarikiwe mkuu
Wana JF,
Nimeona mm pia nitoe testimonial kwa faida ya wajasiriamali wanaopenda kilimo na ufugaji.
Ndoto yangu imekuwa kutafuta ujasiriamali utakaoniwezesha kuachana na ajira at 40yrs.Baada ya kujaribu biashara mbalimbali nikagundua kuwa faida zilizopo kwenye kilimo na ufugaji ni kubwa mno especially kama una kamtaji ka kuanzia kapo.Nikaanza kutafuta mashamba.Nikapata kadhaa ila hili la Maseyu ndilo hasa linazaa matunda.kwa wale wanajua morogoro road, hicho kijiji kipo baada ya bwawani au km6 kabla ya mikese.Shamba lipo km1.5 toka barabarani.Nilinunua eka 100 mwaka 2011.
Immediately nikaanza kufyeka na kung'oa visiki.Nikalima eka10 za mahindi na alizeti mwishoni 2012.Nililima eka 2 za tikiti maji.mazao yanastawi si mchezo.masika ya 2013 nikalima eka 20 za alizeti na mahindi.pia nikaanzisha mradi wa nguruwe. Nilianza na nguruwe 8 jike na dume mmoja.sasa nina nguruwe kama 70 hv.Nilipata changamoto kidogo,nguruwe watatu walikufa.kwa changamoto hizo nimepata uzoefu mkubwa. Mambo mengi kama kuchoma chanjo na kutibu baadhi ya magonjwa naweza kufanya mwenyewe kwa maana madaktari nao ni changamoto.nategemea kuanza kuuza nguruwe wakubwa by April.wadogo nauza though soko lake sio kubwa sana.
Pamoja na upungufu wa mvuA mazao yangu ya vule yamekomaa.nna tikiti kama eka10 na mahindi kama eka25. Nextmonth nategemea kulima eka kama 70 hv.nataka kulima mahindi,alizeti,ufuta,mtama na maboga.vyote kwa biashara na chakula ya mifugo yangu.
Nataka niweze kuuza nguruwe 20 kila mwezi by this year. Mwaka jana nimevuna zaidi ya gunia 200 za mahindi na 150 za alizeti.fuso 2 za tikiti maji.Cha zaidi nimetoa ajira kwa vijana kazaa. Tatizo la maji shambani nimetatua last year kwa ku design bwawa na matank cheap.
Karibuni wajasiriamali,future ipo kwenye kilimo.

Kweli mkuu maana hao unaopoteza muda kuwajadili wao walishatoka kimaisha.Huku ndo kwa kushinda na kupata maujuzi. Sio kila siku lema,kinana,mbowe zitto,
mitiki blog
Mkuu sasa hivi Rufiji ekari moja inatembea kiasi gani!?Za siku Mama Joe, Naona umeongelea mbuzi hapa, vipi biashara yake kwa Dar inalipa, nina hekari kama 70 hivi Rufiji huko pembeni ya mto na kwa tahmini ya haraka ardhi ya huko inakubali sana majani yale marefu yanayoliwa na mifugo na maji yapo ya kutosha,
Nilikuwa ninampango wa kufuga nguruwe ila naona wakazi wengi pale ni waislamu na mto tunashare nao kwa hiyo kelele ni nyingi si unajua tena, na wao ndio wenyeji wangu.
Kama una info zozote za Mbuzi hasa wale wanao zaa mapacha naomba unipe kwa maana ya bei ya sokoni na ni wangapi wanaweza kutunzwa kwa hekari moja maana nitakuwa nawalimia majani(maji yapo ya kutosha mwaka mzima).
Shukrani sana
hahaahaUnaitamanisha hadi nasimamisha kucha. Natafuta sana kisehemu karibu na Dar, japo nifuge hata njiwa tu.
kama nakuona mukesh amban wa miaka 5 ijayo..big up mkuuWana JF,
Nimeona mm pia nitoe testimonial kwa faida ya wajasiriamali wanaopenda kilimo na ufugaji.
Ndoto yangu imekuwa kutafuta ujasiriamali utakaoniwezesha kuachana na ajira at 40 yrs. Baada ya kujaribu biashara mbalimbali nikagundua kuwa faida zilizopo kwenye kilimo na ufugaji ni kubwa mno especially kama una kamtaji ka kuanzia kapo. Nikaanza kutafuta mashamba. Nikapata kadhaa ila hili la Maseyu ndilo hasa linazaa matunda. Kwa wale wanajua Morogoro road, hicho kijiji kipo baada ya bwawani au km6 kabla ya Mikese. Shamba lipo km1.5 toka barabarani. Nilinunua eka 100 mwaka 2011.
Immediately nikaanza kufyeka na kung'oa visiki. Nikalima eka10 za mahindi na alizeti mwishoni 2012. Nililima eka 2 za tikiti maji, mazao yanastawi si mchezo. Masika ya 2013 nikalima eka 20 za alizeti na mahindi. Pia nikaanzisha mradi wa nguruwe. Nilianza na nguruwe 8 jike na dume mmoja. Sasa nina nguruwe kama 70 hv. Nilipata changamoto kidogo, nguruwe watatu walikufa. Kwa changamoto hizo nimepata uzoefu mkubwa. Mambo mengi kama kuchoma chanjo na kutibu baadhi ya magonjwa naweza kufanya mwenyewe kwa maana madaktari nao ni changamoto.nategemea kuanza kuuza nguruwe wakubwa by April.wadogo nauza though soko lake sio kubwa sana.
Pamoja na upungufu wa mvua mazao yangu ya vule yamekomaa, nna tikiti kama eka10 na mahindi kama eka 25. Next month nategemea kulima eka kama 70 hivi, nataka kulima mahindi, alizeti, ufuta, mtama na maboga. Vyote kwa biashara na chakula ya mifugo yangu.
Nataka niweze kuuza nguruwe 20 kila mwezi by this year. Mwaka jana nimevuna zaidi ya gunia 200 za mahindi na 150 za alizeti, fuso 2 za tikiti maji. Cha zaidi nimetoa ajira kwa vijana kazaa. Tatizo la maji shambani nimetatua last year kwa ku-design bwawa na matank cheap.
Karibuni wajasiriamali, future ipo kwenye kilimo.