Ufugaji na kilimo unalipa sana


Dah, kwa hiyo mbegu zinawahi kuisha namna hiyo? That means I'll need to buy hizo mbegu mapema sana kabla ya msimu wa kulima haujaanza mwakani. Vipi kama nikinunua 3 or 4 months prior to commencing time mbegu zitafaa? haziharibiki??
Pia kwa heka moja ni kilo ngapi za mbegu zitatosha???

Swali la ushahidi, mkuu hivi hii eka tunayoitaja humu ni Acre or Hectare??
 

Kwa Acre moja mbegu kilo mbili inatosha, Tunaongelea Acre sio Hectare!
 

Kununua napo siyo mbaya...mim nimenunua mpunga umenidodea mana kikwete kaleta mchele wa msaada sasa wenye mipunga tunalia...ila kama ningeuza mwaka huu mambo yangekuwa poa...ila mpunga hautoki nashindwa kuendelea kununua mwingine..hii ndo changamoto iliyopo
 
Last edited by a moderator:
Nawaonea donge wadau mnaolima. Mi tangu nipate hasara ya vitunguu bado sijajikita tena kwenye kilimo

Mkuu hebu tuambie kwanza hasara uliipata wapi na ulilima ekari ngapi??na hasara ilikuwa hasa ukapata??kuna kitu ulifanya wrong au??

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hongera sana Mkuu...Habari nzuri hii inatupa moyo wengine ....nimeanza kufuga nguruwe sasa ....soko lake niaje?
 

Hili ndio tatizo la nchi yetu hii
Ukienda Nzega na Igunnga na Tinde kule Shinyanya au Geita Buseresesere kule au Sengerema mpunga ni wa kumwaga na hauna bei kubwa kihivyo ila utashangaa wanaenda kuagiza mchele nje wanaacha wa wakulima wadogo wadofo unadoda kwwenye maghala na wenye maghala nao wanakula kodi kama kawaida
Ila bado mchele wa wakulima wa hapa nyumbani una ladha yake na una uzuri wake sio kama huo wa kuagizwa nje ambao una harufu mpaka ya magunia
bado utauzika maana hali ya chakula kwa baadhi ya sehem sio nzuri kwa mwaka uliopita sister usiwe na shaka wala usikate tamaa japo najua kimtaji unarudi nyuma unaposhindwa kufanya biashara yako
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli kimtaji nimeyumba mana nilitegemea niuze huu ndipo nipate hela ya kununua tena mwaka huu..
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kimtaji nimeyumba mana nilitegemea niuze huu ndipo nipate hela ya kununua tena mwaka huu..
Najua sana sister hiyo inakurudisha nyuma sana ila usikate tamaa naamini kuna wakati utafika utaona umuhimu wa kuwa na hiyo akiba yako ya mpunga na ukipata nafasi tafuta mtaji kwingine wa kuongezea ununue huu mpya uendelee kufanya biashara
 
Last edited by a moderator:
Duh kaka umenifanya nifikirie mara mbili kuhusu kujiingiza kwenye kilimo. Ngoja tukichange change na sisis tuje huko.
 
Najua sana sister hiyo inakurudisha nyuma sana ila usikate tamaa naamini kuna wakati utafika utaona umuhimu wa kuwa na hiyo akiba yako ya mpunga na ukipata nafasi tafuta mtaji kwingine wa kuongezea ununue huu mpya uendelee kufanya biashara

Ok nashukuru kwa hili wazo lako..ngoja nijitahidi nitakapoishia basi
 
Last edited by a moderator:
Safi sana niko nyuma yako mkuu ngoja nimaloze kusoma[/QUOTE]

Malafyale ubarikiwe sana kwa kutuhamasisha. hii shule imekuja kwa wakati.. kwa sasa naona nisifanye tena over analysis muhimu ni kuchukua hatua. Fursa za kilimo na ufugaji ni nyingi sana Tanzania vijana tuzichangamkie mapema kabla hazijaja nyakati mbaya ardhi itapokuwa hadimu sana. wakat ni sasa
 
Safi sana niko nyuma yako mkuu ngoja nimaloze kusoma

Malafyale ubarikiwe sana kwa kutuhamasisha. hii shule imekuja kwa wakati.. kwa sasa naona nisifanye tena over analysis muhimu ni kuchukua hatua. Fursa za kilimo na ufugaji ni nyingi sana Tanzania vijana tuzichangamkie mapema kabla hazijaja nyakati mbaya ardhi itapokuwa hadimu sana. wakat ni sasa[/QUOTE]
Karibu kaka.ni vema tukaendelea kupambana
 
Wana JF nimetafuta sana hii mbegu ya ufuta LINDI 2002 sijafanikiwa. Kama kuna mtu anajua kwa kupata tafadhali nambie.
Naona dar na morogoro imekuwa adimu!
 
Wana Jf,
Salama!kwa wakulima nna imani mpo busy na kupanda.Huku kwetu baada ya msimu mgumu wa vuli ambapo jua lilikuwa kali mno tumevuna tayari.sasa tunalima na kupanda kwa mazao ya masika.Mvua zinaendelea vizuri.nawatakia mafanikio mema wakulima na wafugaji.
 
Nawaonea donge wadau mnaolima. Mi tangu nipate hasara ya vitunguu bado sijajikita tena kwenye kilimo

Hasara ilikujaje mkuu? Tushirikishe changamoto na namna ya kuziepuka baada ya kujifunza
 
 
Ahsante kaka.
Kwa huku eka 100 kwa sasa ni ngumu.waweza kununua kidogokidogo kupata hiyo.pia bei zimepanda around 200-250k/eka.nimesikia kuna eka 30 mahali.
Lakini mashamba yapo mengi kaka sehemu zingine.hume kwenye forum watu wAnatangaza kila siku!
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…