Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,784
Nilikwenda gerezani mtaa wa makamba this week.kuna kampuni inaitwa Suba na nikakuta mbegu ya ufuta lindi2002 imeisha though wamesema ikifika watanipigia.naenda morogoro this weekend nitacheck Tanzania seed Association wanazo hizo mbegu.ni shs 5000 kwa kg.
Kuna mtu anajua tanzania seed association ipo wapi hapa dar? Watakuwa na hizo mbegu.
Dah, kwa hiyo mbegu zinawahi kuisha namna hiyo? That means I'll need to buy hizo mbegu mapema sana kabla ya msimu wa kulima haujaanza mwakani. Vipi kama nikinunua 3 or 4 months prior to commencing time mbegu zitafaa? haziharibiki??
Pia kwa heka moja ni kilo ngapi za mbegu zitatosha???
Swali la ushahidi, mkuu hivi hii eka tunayoitaja humu ni Acre or Hectare??