Ufugaji na kilimo unalipa sana

Ufugaji na kilimo unalipa sana

Mkuu wangu ni kweli ulipotea sana!unajiandaa kupanda nini mkuu?mimi nataka nijaribu mahindi kama heka 5 hivi,ila ni eneo jipya,ndio namalizia kung'oa visiki hapa!ni maeneo ya Msowero!sijajua litanipaje mavuno,maana wenyeji wanadai shamba jipya kwa mahindi utoa mavuno hafifu,ila mleta mada hapa amenidokeza shamba jipya ustahili kutoa mavuno mengi zaidi!mimi target yangu nipate angalau gunha 50 tu kwa heka zote 5

Niko na misitu huku nyanda za juu, nakimbizana na vijana ile mbaya. Nitarudi jukwaani baada ya tarehe 26jan. Ukiniona ujue nimekuja mjini kusoma gazeti jioni na kisha nazama mwituni tena na kudokoa mail mbili tatu hivi.
 
Nawaonea donge wadau mnaolima. Mi tangu nipate hasara ya vitunguu bado sijajikita tena kwenye kilimo
 
Well done and good job ukihitaji tractors au majembe niulize, pia niulize mmnaelewana vipi na wafugaji au unawapa nguruwe
 
Last Saturday nilikuwa shamba. Mahindi yanaendelea kukauka vizuri though vuli hii ilikuwa jua kali. Mungu ana uweza mkubwa kwa wanaomtegemea!

Mifugo inaendelea poa pia,tumepata 11 new piglets. Du check boga hilo! Muugwana vitendo!

Nataka wenye desire mtamani iwe chachu kufanya kweli. Nothing will change for you if you do not change!
 
Attachments

  • pic.jpg
    pic.jpg
    13.2 KB · Views: 257
  • pic3.jpg
    pic3.jpg
    9.8 KB · Views: 265
  • pic2.jpg
    pic2.jpg
    9.4 KB · Views: 262
Niko na misitu huku nyanda za juu, nakimbizana na vijana ile mbaya. Nitarudi jukwaani baada ya tarehe 26jan. Ukiniona ujue nimekuja mjini kusoma gazeti jioni na kisha nazama mwituni tena na kudokoa mail mbili tatu hivi.

Nimeipenda sana hii mkuu,tukiwa serious kama hivyo,na serikali ikatekeleza kauli mbiu yake ya kilimo kwanza kwa vitendo na si porojo na ikawalinda wakulima wa ndani,hakika wengi tutakua sio walalamikaji tenda ndani ya taifa letu!keep it up mkuu
 
Last Saturday nilikuwa shamba. Mahindi yanaendelea kukauka vizuri though vuli hii ilikuwa jua kali. Mungu ana uweza mkubwa kwa wanaomtegemea!

Mifugo inaendelea poa pia,tumepata 11 new piglets. Du check boga hilo! Muugwana vitendo!

Nataka wenye desire mtamani iwe chachu kufanya kweli. Nothing will change for you if you do not change!

Mkuu bahati mbaya sana natumia simu!ila pokea LIKE yangu kubwa sana!big up mkuu!
 
I see Mfalme unatutamanisha hilo boga hadi raha, kwakweli hizi thread zinahamasisha na kuleta uthubutu. Hongera sana Bwana na Mungu azidi kukubariki
 
This is really good, hongera sana kaka, please naomba mawasiliano yako
 
The Ant Philosophy-by Jim Rohn

Over the years I've been teaching children about a simple but powerful concept—the ant philosophy. I think everybody should study ants. They have an amazing four-part philosophy, and here is the first part: ants never quit. That's a good philosophy. If they're headed somewhere and you try to stop them; they'll look for another way. They'll climb over, they'll climb under, and they'll climb around. They keep looking for another way.-What a neat philosophy, to never quit looking for a way to get where you're supposed to go.Second, ants think winter all summer. That's an important perspective. You can't be so naive as to think summer will last forever. So ants are gathering in their winter food in the middle of summer.An ancient story says, "Don't build your house on the sand in the summer." Why do we need that advice? Because it is important to be realistic. In the summer, you've got to think storm. You've got to think rocks as you enjoy the sand and sun
The third part of the ant philosophy is that ants think summer all winter. That is so important. During the winter, ants remind themselves, "This won't last long; we'll soon be out of here." And the first warm day, the ants are out. If it turns cold again, they'll dive back down, but then they come out the first warm day. They can't wait to get out.And here's the last part of the ant philosophy. How much will an ant gather during the summer to prepare for the winter? All he possibly can.-What an incredible philosophy, the "all-you-possibly-can" philosophy.Wow, what a great seminar to attend—the ant seminar.-Never give up, look ahead, stay positive and do all you can.
 
Last Saturday nilikuwa shamba. Mahindi yanaendelea kukauka vizuri though vuli hii ilikuwa jua kali. Mungu ana uweza mkubwa kwa wanaomtegemea!

Mifugo inaendelea poa pia,tumepata 11 new piglets. Du check boga hilo! Muugwana vitendo!

Nataka wenye desire mtamani iwe chachu kufanya kweli. Nothing will change for you if you do not change!

safi sana mkuu,+
HAPO VIP WAKUU?
 
Mkuu imekaa vizuri,
Vikitimoto lundo namna hiyo!!!!! keep it up.
 
I see Mfalme unatutamanisha hilo boga hadi raha, kwakweli hizi thread zinahamasisha na kuleta uthubutu. Hongera sana Bwana na Mungu azidi kukubariki
Ahsante MamaJoe.
Kazi bado ipo lakini kwa uweza wa Mungu tutafika
 
Mkuu kama vipi itabidi unipe contact yako, siku ukipata mbegu bora zaidi nitaomba unishtue na mimi maana natarajia kulima mwakani Mungu akinijalia.
Na average mbegu wanauzaje kwa kilo? Nasikia pia ufuta mweupe ndo unalipa zaidi, kama ukipata mbegu yake itakuwa nzuri zaidi.
Kuhusu mvua nimesikia ufuta hauhitaji mvua nyingi kama mahindi, zaidi mvua inahitajika sana katika zile phase za mwanzoni kabisa, ni kweli??
Mkuu MalafyaleP msaada kama ukipata mbegu bora zaidi za ufuta.

Nimejipanga kuhudhuria maonesho ya nane nane mwaka huu popote pale yatakapofanyika. Hopefully nitapata something.
Nilikwenda gerezani mtaa wa makamba this week.kuna kampuni inaitwa Suba na nikakuta mbegu ya ufuta lindi2002 imeisha though wamesema ikifika watanipigia.naenda morogoro this weekend nitacheck Tanzania seed Association wanazo hizo mbegu.ni shs 5000 kwa kg.
Kuna mtu anajua tanzania seed association ipo wapi hapa dar? Watakuwa na hizo mbegu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom