Mkuu wangu ni kweli ulipotea sana!unajiandaa kupanda nini mkuu?mimi nataka nijaribu mahindi kama heka 5 hivi,ila ni eneo jipya,ndio namalizia kung'oa visiki hapa!ni maeneo ya Msowero!sijajua litanipaje mavuno,maana wenyeji wanadai shamba jipya kwa mahindi utoa mavuno hafifu,ila mleta mada hapa amenidokeza shamba jipya ustahili kutoa mavuno mengi zaidi!mimi target yangu nipate angalau gunha 50 tu kwa heka zote 5
Niko na misitu huku nyanda za juu, nakimbizana na vijana ile mbaya. Nitarudi jukwaani baada ya tarehe 26jan. Ukiniona ujue nimekuja mjini kusoma gazeti jioni na kisha nazama mwituni tena na kudokoa mail mbili tatu hivi.