balimar
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 7,743
- 13,657
Kufuga na kilimo ni uji na mgonjwa
Mathalani mtu anaefuga ng'ombe ili apate faida ni lazima aweze kutumia kiufasaha (maximazing) matumizi ya;
Moja, mikojo ya ng'ombe kuchachua gas kwenye biodigester
Mbili, mavi ya ng'ombe kwenye kupata biogas
Tatu, bioslurry kwenye kilimo hii ni noma maana ukiwa nayo huhitaji hata kununua dawa za kuulia wadudu wala booster kwenye kilimo chako chote hasa cha mbogamboga na matunda
Nne, maziwa hii ni biashara ambayo HAKUNA kuigana igana kizembe
Tano, kuuza ndama au ng'ombe wenyewe
Sasa faida ya haraka kwa mfugaji ni mikojo na mavi aiseh ukiweza kuwa na bio digester wewe kilimo na ufugaji huwezi kuvitenga
Nawaambatanishia picha hapa