Ufugaji wa Bata: Aina za bata, ujuzi, gharama, changamoto, faida na masoko

Hongera sana mkuu.
Hivi unaweza weka picha ya mfano bora wa mabanda ya bata?
Hata uki share link sio mbaya.
 
asante sana
 
Habari wakuu
Ni baada ya muda gan Bata wanaanza kutaga?
 
Habari wakuu
Ni baada ya muda gan Bata wanaanza kutaga?
Inategemea na lishe, matunzo kwa ujumla. mimi ninao 30, hawatagi katu na wana miaka 2..lishe.......mazingira ya kufungiwa bila chakula cha kutosha. panapo lishe safi ni miezi 6
 
Inategemea na lishe, matunzo kwa ujumla. mimi ninao 30, hawatagi katu na wana miaka 2..lishe.......mazingira ya kufungiwa bila chakula cha kutosha. panapo lishe safi ni miezi 6
Sasa Mkuu
Wataalam Wanasemaje
Ingawa Kuna Alifuga Bata Muda Wa Kutosha Lakini Hawakutaga
Akaamua Kuwapeleka Kwa Jirani Kule Wakataga Vizuri
 
Inategemea na lishe, matunzo kwa ujumla. mimi ninao 30, hawatagi katu na wana miaka 2..lishe.......mazingira ya kufungiwa bila chakula cha kutosha. panapo lishe safi ni miezi 6
Ahsante ngoja niwawekee mazingira mazuri waweze kutaga nataka nifuge Bata kweli kweli
 
Asante kwa huu uzi, umenisaidia kukuza vifaranga vya bata vyote bila kifo hata kimoja

Na mama yao anataga tena sasa
 
Kwa hakika angarau kwa makara hii juu ya ufugaji bata tumepata elimu ya kutosha ni muda wa kuifanyia kazi shukran.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…