Ufugaji wa Bata: Aina za bata, ujuzi, gharama, changamoto, faida na masoko

Home kuna bata wanafugwa kienyeji(kimazoea) kuna kipindi wanazaliana, kuna kipindi wanakata, nataka niwahamishe niwapeleke shamba, kama utakuwa na muda ukafika site, tukapeana A, B, C itakuwa njema zaidi mzee.
 
Nimeanza ufugaji wa bata,bata wangu ametotoa je ni chakula gani bora kwa vifaranga?
 
Ndiyo kitu gani hii jamani
Hii ni chakula mbadala/nyongeza Retired .
Ni mbegu zilizooteshwa na kumea (kwa maji bila udongo).
Inafaa kulisha kuku, Bata, mbuzi, ng'ombe, kondoo, nguruwe, sungura n.k
Inakuwa tayari kuanzia siku ya 5-9.
Inapunguza gharama za ufugaji kwenye chakula kufikia 50%.
Mbegu zinavimba SANA kilo moja ya mbegu Inaweza kufikisha kilo 4 za malisho.
Inawafaa wafugaji kushusha gharama za chakula Cha mifugo.
Pia majani yanaweza kusagwa na kutengeneza juice kwa ajili ya kunywa kwa wale wanaojali zaidi afya zao.
 
Naomba kuuliza Bata aina ya Pekin. Dume la pekin linajukana vipi ? Kama mtu atakuwa na picha sio mbaya
 
asante👊
 
Naomba kuuliza Bata aina ya Pekin. Dume la pekin linajukana vipi ? Kama mtu atakuwa na picha sio mbaya
Dume la perkin linakuliana kwa sauti inakuwa ndogo kama ya mtu aliye kabwa au unaweza angalia mkia kwa nyuma kama umejikunja .
Kwa jike anakuwa na piga kelele za quack quack na sauti inakuwa juu pia kwny mkia ukiangalia vzr kama umetengeneza X
 
Hii kitu inaitwaje na inapatikana wapi, kwa bei gani?
 
Mtaalamu nisaidie. Bata wangu juzi walinyeshewa na mvua kubwa. Nikakuta bata mmoja mabawa yamelegea au ameshusha makoti. Mwingine amelala anashindwa kutembea. Ni ugonjwa gani na matibabu Ni yapi. Tafadhali Niokoe Bata wangu
 
Kama ni wachanga ndo basi tena hawezi survive ikifika hali hiyo mwisho wanakufa. Mi nlipoteza bata 6 vifaranga kati ya 13 baada ya kuingia kwenye maji na wengine kunyeshewa na mvua. Now nimejifunza next time nitahakikisha wote wanakaa mazingira salama kuwatoa nje hadi wakomae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu naomba kuuliza bata perkin wanaanza kutaga wakiwa na miezi mingapi. Na hivyo vifalanga vya bukini ni bei gani?
Perkin wana kutaga wakiwa na miezi mitano ila kama umewepa lishe nzuri
Vifaranga vya bukini 50000 wa wiki tatu
Na 60000 wa mwezi mmoja na nusu

Pia Kuna vifaranga vya perkin, indian runner, mallard na khaki Campbell
 
Mkoani si unatuma mi niko morogoro mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…