Ufugaji wa Bata: Aina za bata, ujuzi, gharama, changamoto, faida na masoko

Bata wa kienyeji wanataga baada ya miezi mingapi tangu kuzaliwa
 
Wakuu bata anachukua muda gani kukua hadi kua tayari kwa kuliwa/kuuzwa kwa bei ya sokoni??
 
Mimi nnachangamoto moja wakuu bata wangu aina ya pekins mmoja ameumwa jioni tu na kufa mda huohuo je niugonjwa au wamempa sumu mana huwa nawaachia mara moja moja
 
Sometime ni kujaribu kuwawekea sehemu ya kutagia alafu unatafuta yai moja unaweka, mara nyingi nimejaribu kwa kuku wanaanza kutaga na hata bata nina bata nimekaa nae miezi 6 na dume la kuazima hatagi ila dume linapanda kama kawa ila nilivyoweka yai la kuku baada ya siku 2 akaanza kutaga!!

Ila sina uzoefu sana nimekuja hapa baada ya ku-search search hapa na pale kuhusu ufygaji bata ndio nimekuta uzi huu hivyo nami nimekuja kujifunza na ndio kwanza bata wangu wa kwanza kufuga tangu nizaliwe ametotoa juzi mayai yote 9
 
Nakuunga mkono kwa hoja nzuri!
 
Kwenye soko hujaeleza kwa undani kaka, umesema wanamasoko sana. Kama lipi? Kuna kampuni unaifahamu inayonunua mfano?
 
bata wa kienyeji wanaatamia/kulalia siku ngapi?
 
Jipatie vifaranga wa bata Bukini
Wanapatikana CHANIKA
Call 0783 29 11 07
 

Attachments

  • 23DAFC7F-3D5F-4DC4-A214-FB4212A531B5.jpeg
    831.4 KB · Views: 72
  • 549D16C9-3429-4AC1-8EA2-099F93584B50.jpeg
    405.5 KB · Views: 77
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…