Deo Benjamin
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 308
- 92
Kwa mjini hasa dar kang mkubwa ananzia ela ngap coz huk kwet kanga mkubwa kabisa ni tsh 6,000-7,000
Kwa mjini hasa dar kang mkubwa ananzia ela ngap coz huk kwet kanga mkubwa kabisa ni tsh 6,000-7,000
Nashukur kwa taarifayako samahani, hebu nipena elim nzuri upande wa kuku dawaipi nzuri ? pia nikuulize kaswari kimasihara, hivi kanga unawatofautishaje huyu dume au jike?
Ee wewe kumbe ndoivyo da jamani kumbe tujitume vijana fulsa tunazo
Kanga kwa Dar es Salaam ni kuanzia sh. 25,000 nakuendelea lakini kanga weupe anakwenda mpaka shilingi 50,000
Tafadhari msiniulize kwa nini kanga mweupe anauzwa bei ya juu zaidi
BTW mayai ya kanga kwa Dar ni sh.1000 au 30,000 kwa tray
Kama ilivyo kwa Kwale, kanga nao wakiwa wadogo huwa na features kifuani za kuwatofautisha kati ya dume na jike, kwa kanga dume huwa na michirizi mieupe kifuani (hapa huwa kunachangamoto kwa kanga weupe), na kama wamefugwa vizuri basi madume huwa na miili mikubwa kuliko majike kuanzaia week 4 au 5
Umekalia kijiweni ukiwasubiri M4C wakuletee maisha murua wacha umburula kijana jitume umri unakwenda
Ah hapo kwenye utambuz wa madume majike kaz ipo
Umekalia kijiweni ukiwasubiri M4C wakuletee maisha murua wacha umburula kijana jitume umri unakwenda
Mkuu kama unataka mayai pia sema utapata ninajamaa yangu yupo singida huwa napata mpaka trey 5 kwaajili ya familia ila kwajinsi ulivyo elezea nimevutia nianze kufuga sasa badala yakuyala.
Msimu wa kanga kutaga ni upi na dalili zao za kuanza kutaga n zipi?Mkuu katika hao ndege hapo juu mimi ninawafuga kanga kiukweli kanga ni wazuri sana kufuga kwasababu kanga siku akitotolewa vifaranga vyake huwa ni mchaka mchaka havitulii na haviitaji dawa ya aina yoyote zaidi ya maji na chakula na huwa inakuwa vizuri ukinunua mayai yake ukaatamisha kwa kuku ili avilee vizuri vifaranga,vifaranga vya kanga huwa vinakuwa haraka kuliko vya kuku na wakisha kuwa wakubwa watakusumbua tu kwenye kelele vile vile huwa wanataga kwa msimu wako tofauti na ndege wengine na huwa wanapenda kutagia nje au kwenye pori sasa ukishaona wanataka kuanza kutanga inatakiwa unaweka kiota ndani harafu unakuwa unawafungia bandani hadi saa 7 mchana unawatoa hapo wanakuwa wamesha taga kabisa ndio unawatoa nje baada ya hapo unachagua hayo mayai umwachie kanga alalie mwenyewe au uchukue mayai umwekee kuku maana huwa yanakuwa mengi na kanga huwa anataga tu mfululizo.
Kuhusu soko,wewe anza kuwafuga wakishakuwa wengi utaona watu watakavyo kuwa wanakujalia kuulizia mayai na vifaranga hadi utashangaa mwenyewe hao hunaaja ya kujitangaza kelele zao tu zinakuletea wateja nyumbani,mayai moja(2000)
Kifaranga 5000
Kanga wakubwa 30000
Na haina kulemba wanauzika sana baadaye ndakuwekea picha
Kuhusu hao bukini na bata mzinga bado sijajua vizuri ngoja tusubiri wadau
-Ndumilakuwili-
Ahsante mkuu kwa shule nzuri tutafutane basiMkuu katika hao ndege hapo juu mimi ninawafuga kanga kiukweli kanga ni wazuri sana kufuga kwasababu kanga siku akitotolewa vifaranga vyake huwa ni mchaka mchaka havitulii na haviitaji dawa ya aina yoyote zaidi ya maji na chakula na huwa inakuwa vizuri ukinunua mayai yake ukaatamisha kwa kuku ili avilee vizuri vifaranga,vifaranga vya kanga huwa vinakuwa haraka kuliko vya kuku na wakisha kuwa wakubwa watakusumbua tu kwenye kelele vile vile huwa wanataga kwa msimu wako tofauti na ndege wengine na huwa wanapenda kutagia nje au kwenye pori sasa ukishaona wanataka kuanza kutanga inatakiwa unaweka kiota ndani harafu unakuwa unawafungia bandani hadi saa 7 mchana unawatoa hapo wanakuwa wamesha taga kabisa ndio unawatoa nje baada ya hapo unachagua hayo mayai umwachie kanga alalie mwenyewe au uchukue mayai umwekee kuku maana huwa yanakuwa mengi na kanga huwa anataga tu mfululizo.
Kuhusu soko,wewe anza kuwafuga wakishakuwa wengi utaona watu watakavyo kuwa wanakujalia kuulizia mayai na vifaranga hadi utashangaa mwenyewe hao hunaaja ya kujitangaza kelele zao tu zinakuletea wateja nyumbani,mayai moja(2000)
Kifaranga 5000
Kanga wakubwa 30000
Na haina kulemba wanauzika sana baadaye ndakuwekea picha
Kuhusu hao bukini na bata mzinga bado sijajua vizuri ngoja tusubiri wadau
-Ndumilakuwili-