Asante drMimi ni daktari wa mifugo ila sikushauri kuingia katika ujasiliamali wa sungura....
Soko lake hapa nchini kwetu liko chini mno kulingana na mifugo mingine.....
Kwa leo ni hivyo tu Mkuu
Kuna client wangu mmoja aliingia gharama kubwa kuwanunua kutoka kwa wakenya.....Asante dr
Ingiia google uione jinsi mabanda yao yalivo na jinsi ya kuvuna mkojo wa sugura,lita moja inauzwa elf 5 Lita moja ya mkojo Kwa Lita 5 ya MAJI unamwagia mmeaCheki sasa ufalla huu,kwaiyo huyo Sungura utampa poti kama mtoto mdogo akojolee humo.?
Ni fursa hio mwambie awapelekee sokoni akauze Kwa bei ya Jumla,au atafute wasindikao viungo vya chai ,au ayasindike ayafunge Kwa standard ya kimataifa kisha anaweza kuiexport.Au awauzie watengeneza sabuni.Kuna jinga limemuingiza mjini boss wangu eti alime michai chai soko lake ni noma duniani.Bossi wangu kalima heka kumi kwa sasa jamaa halionekani boss wangu kawa mwehu kila siku na majani ya michai chai kwenye gari lake tunapewa ofisini na siku hizi tumembadili jina tunamuita BOSS MICHAI CHAI
Navyojua ukiyakata kutoka kwenye shina yananyauka sasa wewe unataka uzidi kumuongezea stress kwa kununua vi mahitaji vya kupack bora sasa hivi mwenzio anafidia hasara kwa kujifanya anapenda chai ya michai chai na kugawa kwa majirani na wafanyakazi wenzie.Ni fursa hio mwambie awapelekee sokoni akauze Kwa bei ya Jumla,au atafute wasindikao viungo vya chai ,au ayasindike ayafunge Kwa standard ya kimataifa kisha anaweza kuiexport.Au awauzie watengeneza sabuni.
Biashara ya live stock niliyoifanya ukikuwa ni ya kuku wa kienyeji. Tulikula kila tulipojisikia na siku za hali ngumu tuliuza majogoo, ukiuza kumi si haba.Kuna client wangu mmoja aliingia gharama kubwa kuwanunua kutoka kwa wakenya.....
Kwenye management alijitahidi sana ila kuna ugonjwa fulani ulivamia shamba lake walikufakufa katika juhudi za kuwa manage kuna baadhi walibaki nikamshauri tuwauze tu ili pesa itakayopatikana tuwekeze kwenye poultry maana pia alikuwa nao wengi.....
Kwenye soko hapo ilikuwa changamoto hawauziki kabisa na gharama aliowanunulia kichwa kinauma kabisa....
Kuna vitu vingi vya ku invest lakni si kwa sungura a.k.a Oryctolagus cuniculus domesticus
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Eti mbuzi wa kula christmass anyway siku ukiwa na uhitaji wa business proposal nzuri utanitafuta nitakupa special hints zitakazo kuwezesha kuwafuga kisasaBiashara ya live stock niliyoifanya ukikuwa ni ya kuku wa kienyeji. Tulikula kila tulipojisikia na siku za hali ngumu tuliuza majogoo, ukiuza kumi si haba.
Sasa hivi nina fikiria kufuga mbuzi niache kununua wa Christmas
Kuna wakati kuna Wajerumani walikuja na kuyanunua mengi sana, wanatenezea herbal remide na pia perfume. Baada ya hapo walipotea.Navyojua ukiyakata kutoka kwenye shina yananyauka sasa wewe unataka uzidi kumuongezea stress kwa kununua vi mahitaji vya kupack bora sasa hivi mwenzio anafidia hasara kwa kujifanya anapenda chai ya michai chai na kugawa kwa majirani na wafanyakazi wenzie.
Asante ninahitaji ushauri kuanzia ujenzi wa mabanda[emoji2] [emoji2] [emoji2] Eti mbuzi wa kula christmass anyway siku ukiwa na uhitaji wa business proposal nzuri utanitafuta nitakupa special hints zitakazo kuwezesha kuwafuga kisasa
Raised House is the best for them maana mbuzi wengi wako so susceptible to hooves condition kidogo hii itawapa ahueni....Asante ninahitaji ushauri kuanzia ujenzi wa mabanda
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Furusa inayoka kwako mwenyewe. Wavumbuzi woye walioana furusa mbele yao. Wala hawakuhutubiwa furusa.
Huku bongo ndo eti kuna mikutano ya kuelezea furusa.
Hahaaa huwa nacheka sana eti watu wanaenda kwenye mikutano ya kuelezwa wafanye nini.
Hii ni baada ya wao kuwaza kwao kufika mwisho
Umasikini wa MTU upo kichwani mwake, ukati toka kwenye shina lote,unafanya kama kupruneNavyojua ukiyakata kutoka kwenye shina yananyauka sasa wewe unataka uzidi kumuongezea stress kwa kununua vi mahitaji vya kupack bora sasa hivi mwenzio anafidia hasara kwa kujifanya anapenda chai ya michai chai na kugawa kwa majirani na wafanyakazi wenzie.
Nipatir namba yako nikuunge nae inaelekea upo vizuri kwenye sector ya ubunifuUmasikini wa MTU upo kichwani mwake, ukati toka kwenye shina lote,unafanya kama kuprune
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana kwa huyu Boss michai chaiKuna jinga limemuingiza mjini boss wangu eti alime michai chai soko lake ni noma duniani.Bossi wangu kalima heka kumi kwa sasa jamaa halionekani boss wangu kawa mwehu kila siku na majani ya michai chai kwenye gari lake tunapewa ofisini na siku hizi tumembadili jina tunamuita BOSS MICHAI CHAI
Kila kitu kipo Google elimu yote uitakayo hadi connection ya masoko ya dunia watamueleza kila kitu,umasikini na utajiri vyote vipo google,Nipatir namba yako nikuunge nae inaelekea upo vizuri kwenye sector ya ubunifu
Baba yule ni mtu mzima so magoogle hayajui vizuri so ni vizuri umsaidieKila kitu kipo Google elimu yote uitakayo hadi connection ya masoko ya dunia watamueleza kila kitu,umasikini na utajiri vyote vipo google,