Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Asante dr
Kuna client wangu mmoja aliingia gharama kubwa kuwanunua kutoka kwa wakenya.....

Kwenye management alijitahidi sana ila kuna ugonjwa fulani ulivamia shamba lake walikufakufa katika juhudi za kuwa manage kuna baadhi walibaki nikamshauri tuwauze tu ili pesa itakayopatikana tuwekeze kwenye poultry maana pia alikuwa nao wengi.....

Kwenye soko hapo ilikuwa changamoto hawauziki kabisa na gharama aliowanunulia kichwa kinauma kabisa....

Kuna vitu vingi vya ku invest lakni si kwa sungura a.k.a Oryctolagus cuniculus domesticus
 
Cheki sasa ufalla huu,kwaiyo huyo Sungura utampa poti kama mtoto mdogo akojolee humo.?
Ingiia google uione jinsi mabanda yao yalivo na jinsi ya kuvuna mkojo wa sugura,lita moja inauzwa elf 5 Lita moja ya mkojo Kwa Lita 5 ya MAJI unamwagia mmea
 
Kuna jinga limemuingiza mjini boss wangu eti alime michai chai soko lake ni noma duniani.Bossi wangu kalima heka kumi kwa sasa jamaa halionekani boss wangu kawa mwehu kila siku na majani ya michai chai kwenye gari lake tunapewa ofisini na siku hizi tumembadili jina tunamuita BOSS MICHAI CHAI
Ni fursa hio mwambie awapelekee sokoni akauze Kwa bei ya Jumla,au atafute wasindikao viungo vya chai ,au ayasindike ayafunge Kwa standard ya kimataifa kisha anaweza kuiexport.Au awauzie watengeneza sabuni.
 
Navyojua ukiyakata kutoka kwenye shina yananyauka sasa wewe unataka uzidi kumuongezea stress kwa kununua vi mahitaji vya kupack bora sasa hivi mwenzio anafidia hasara kwa kujifanya anapenda chai ya michai chai na kugawa kwa majirani na wafanyakazi wenzie.
 
Kuna client wangu mmoja aliingia gharama kubwa kuwanunua kutoka kwa wakenya.....

Kwenye management alijitahidi sana ila kuna ugonjwa fulani ulivamia shamba lake walikufakufa katika juhudi za kuwa manage kuna baadhi walibaki nikamshauri tuwauze tu ili pesa itakayopatikana tuwekeze kwenye poultry maana pia alikuwa nao wengi.....

Kwenye soko hapo ilikuwa changamoto hawauziki kabisa na gharama aliowanunulia kichwa kinauma kabisa....

Kuna vitu vingi vya ku invest lakni si kwa sungura a.k.a Oryctolagus cuniculus domesticus
Biashara ya live stock niliyoifanya ukikuwa ni ya kuku wa kienyeji. Tulikula kila tulipojisikia na siku za hali ngumu tuliuza majogoo, ukiuza kumi si haba.
Sasa hivi nina fikiria kufuga mbuzi niache kununua wa Christmas
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Eti mbuzi wa kula christmass anyway siku ukiwa na uhitaji wa business proposal nzuri utanitafuta nitakupa special hints zitakazo kuwezesha kuwafuga kisasa
 
Navyojua ukiyakata kutoka kwenye shina yananyauka sasa wewe unataka uzidi kumuongezea stress kwa kununua vi mahitaji vya kupack bora sasa hivi mwenzio anafidia hasara kwa kujifanya anapenda chai ya michai chai na kugawa kwa majirani na wafanyakazi wenzie.
Kuna wakati kuna Wajerumani walikuja na kuyanunua mengi sana, wanatenezea herbal remide na pia perfume. Baada ya hapo walipotea.

Watu walichuma hela kila ilikuwa shi 10,000
 
Asante ninahitaji ushauri kuanzia ujenzi wa mabanda
Raised House is the best for them maana mbuzi wengi wako so susceptible to hooves condition kidogo hii itawapa ahueni....

Na kama utakuwa serious ningependa uwafuge kwa system ya intensive or semi intensive zote ziko vizuri....
 
Kwa mimi binafsi jinsi nilivyo ni kwamba kila mfugo unaowezekana kufuga mimi huwa nafuga huwa sisubiri kusikiliza kwa mtu kwa upande wa sungura huwa nawapenda kwasababu ufugaji wake ni rahisi sana na hauna gharama,ni kuwatengenezea banda zuri harafu unanunua mbegu hapo unaweza anza na wawili tu dume na jike na baada ya hapo utapata sungura wengi sana baada ya muda mufupi hadi utashangaa.
Chakula chake hununui unang'oa majani unawawekea ni bure kabisa na mabaki ya vyakula wao wanagonga kwa wale wenye mashamba na bustani yale majani ya kupalilia unayakusanya unawawekea wanagonga vizuri ambayo wewe ungeyatupa.
Hawaumwi kizembe na wala huwezi poteza gharama kununua dawa.

Sasa ninamaana mtu unaweza kuwafuga kwa mapenzi yako kwasababu hawana gharama ikitokea mtu anawahitaji unaweza muuzia (hapa huwa wanajitokeza sana kununua wakisha jua tu unao sungura)na vile vile unaweza watumia wewe mwenyewe wakakupunguzia gharama za kitoweo(hapo wewe ni mboga za majani na kitoweo cha nyama ya bure hiyo utaamua wewe uchome ,ukaange na nk)

KWA WENYE SHAMBA NA BUSTANI.
sasa hivi samadi inauzwa sasa wewe sungura watakupatia samadi nyingi bure na mkojo utakaotumia kunyunyiza kwenye mimea yako .

USISIKILIZE ETI NGOJA NIPATE SOKO LA MKUPUO WEWE ANZA KUFANYA FAIDA ZA HICHO KITU UTAZIPATA MBELE NA UTASHANGAAA.

Mfano,kuna watu huwa wanabeza hata wale bata wa kienyeji kwamba hawana soko kama wanavyobeza sasa kwa sungura lakini kuna watu wanafanya biashara ya kuchinja na kupaki nyama ya bata vizuri na kuziuza kama kuku kitu ambacho kinawezekana kwa nyama ya sungura nimeweka picha hapo chini.

Angalizo hizo picha sio za kwangu nimechukua kwa mjasiliamali yuko Dar.
IMG_20180327_115219.JPG
IMG_20180327_115237.JPG
 
Furusa inayoka kwako mwenyewe. Wavumbuzi woye walioana furusa mbele yao. Wala hawakuhutubiwa furusa.

Huku bongo ndo eti kuna mikutano ya kuelezea furusa.

Hahaaa huwa nacheka sana eti watu wanaenda kwenye mikutano ya kuelezwa wafanye nini.

Hii ni baada ya wao kuwaza kwao kufika mwisho
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Navyojua ukiyakata kutoka kwenye shina yananyauka sasa wewe unataka uzidi kumuongezea stress kwa kununua vi mahitaji vya kupack bora sasa hivi mwenzio anafidia hasara kwa kujifanya anapenda chai ya michai chai na kugawa kwa majirani na wafanyakazi wenzie.
Umasikini wa MTU upo kichwani mwake, ukati toka kwenye shina lote,unafanya kama kuprune
 
Umasikini wa MTU upo kichwani mwake, ukati toka kwenye shina lote,unafanya kama kuprune
Nipatir namba yako nikuunge nae inaelekea upo vizuri kwenye sector ya ubunifu
 
Kuna jinga limemuingiza mjini boss wangu eti alime michai chai soko lake ni noma duniani.Bossi wangu kalima heka kumi kwa sasa jamaa halionekani boss wangu kawa mwehu kila siku na majani ya michai chai kwenye gari lake tunapewa ofisini na siku hizi tumembadili jina tunamuita BOSS MICHAI CHAI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana kwa huyu Boss michai chai
 
Nipatir namba yako nikuunge nae inaelekea upo vizuri kwenye sector ya ubunifu
Kila kitu kipo Google elimu yote uitakayo hadi connection ya masoko ya dunia watamueleza kila kitu,umasikini na utajiri vyote vipo google,
 
Kila kitu kipo Google elimu yote uitakayo hadi connection ya masoko ya dunia watamueleza kila kitu,umasikini na utajiri vyote vipo google,
Baba yule ni mtu mzima so magoogle hayajui vizuri so ni vizuri umsaidie
 
Back
Top Bottom