Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Kuwa watu humu wanachukulia hili jukwaa kama Facebook au instagram.
Nasikitika sana Kuona hakuna aliye elewa huu uzi.
dada mm piah mfugaji mdogo ila kwer soko la kuuza ndo changamoto na uku kwetu wanaofuga ni weng sana utatupaje msaada kama ww unao tupe hta ushaur
 
wana jf naomba tuchangiane mawazo kuhusu soko la sungura au kwa anaye hitaji tuwasiliane 0752010736

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa watakohitaji kuingia katika mradi huu wafike ofisini kwetu TBCC LTD Sinza barabara ya Tandale kituo cha bus white inn karibu na uwanja wa TP. kwa maelekezo Zaidi au wasiliana nasi kwa simu 0767851665/ 0715851665/ 0784851665
Arusha fika Hotel Manor- sakina silent inn
Moshi fika kiboriloni market kwa Ndesa No 127 na 128
Mwanza fika Kirumba karibu na msikiti wa Shamsiya barabara ya polisi Kirumba
TANZANIA BUSINESS CREATION COMPANY LIMITED
(Rabbit world department)

www.tbccltd.co.tz
email. tbccltd@gmail.com, info@tbccltd.co.tz
 
 
Habari zenu wadau?

Nimeanza kudadisi kuhusu ufugaji wa sungura na ningeomba kupata taarifa zaidi kuhusu bei ya nyama na mkojo wa sungura. Na ni wateja gani wakubwa hununua mazao hayo? [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta google huko kuna makala kibao zinaelezea kuhusu ufugaji wa sungura tena kitaalamu na namba za simu za wahusika zipo huko..Kama upo serious
 
Ukweli mbao watu wengi hawwawezi kukuwleza wazi ni soko la nyama yiazananTtka(anganyiwa T mimi ka sungura, nijuavyoo mimi Tanganyika(Tanzania) Hakuna soko ama butcher inayofahamika kuwa inauza nyama ya sungura( kama ipo naomba kujulishwa) ukweli ni kuwa wewe mwenyewe ndo.unapaswa kujitengenezea soko, kama ukiweza fanikiwa haaapo ndo utapiga pesa ya kutosha. ila kama ukifuata yaliyopo mtadaoni utajikuta unajuta
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…