njia rahisi ya kufanya marketing research ya bidhaa za mifugo na kilimo.
amri ya kwanza.
wewe ndio mteja wa kwanza. kama unataka kuingia kwenye ufugaji labda wa sungura.
1. jiulize wewe ni mlaji wa sungura?
2.mara ya mwisho umekula sungura ni lini?
3. huwa unakula wakati gani na maeneo yapi. (hotelini, nyumbani, bar etc.)
amri ya pili.
angalia consumption pattern ya iyo bidhaa kwa majirani zako wa mtaani na ndugu zako wa karibu.
waulize maswali hayohayo hapo juu.
ukiona wewe binafsi si mtumiaji wa kwanza wa iyo bidhaa basi achana nayo.
fanya iyo analysis kwenye sungura, bata, bata mzinga, kuku, kanga, bukini, punda, ng'ombe etc... ukipata insight then wekeza.