Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Embu nielimishe nkuu, kuchi ndo kuku wa aina gani?
 
Kuku flani warefu sana na wana manyoa machache. Hata majogoo upanga wao ni mdogo sio kama wengine
 
Nenda Dar es salaam Zoo wana kuku aina nyingi sana, utapata kila mbegu unayohitaji.
 
hbr zenu Wadau,leo nimeshangaa mno kuambiwa kuwa hawa kuku wanafika mpaka laki moja!!! Hv wakuu ni kweli na kama kwel kwanini wanauzwa ghali kiasi hiki, ni kitu gani special ambacho wanacho?
 
Mie kuna jamaa aliniambia eti laki mbili nikamwambia ndugu si bora nikanunue mbuzi wanne kuliko hako kakuku kamoja asee nikaachana nae...............ngoja waje wataalam wa hao ndege Mama Joe na wenzake what is so special ndani ya huyu ndege mpk kufkia kuuzwa bei hiyo asee.
 
Last edited by a moderator:
Kaka nadhani ni vizuri na wepesi kuweka contact tu hapa... Watu wengi wanahitaji.... Tusaidie kaka
 
Mimi nahitaji hata mayai kutoka kwa mtu wa uhakika nikatotoleshe mwenyewe
 
Huyu wangu anaitwa nani?..kama ni kuchi namuuza mweee,.mihela yabure hii
 

Attachments

  • Camera360_2015_1_20_095116_jpg.jpg
    42.5 KB · Views: 422
kwanza unatakiwa ujue kwamba kuch jike hakui kama jogoo ila pia ni wazembe sana kuatamia na kutotoa pia


mm ninae mtetea wa kuchi anaatamia vizurisana na usiombe akudonoe,asilimia kubwa ya kuku bandani kwangu ameijaza yeye.pia wanataga yai kubwa kuliko kuku wengine.
 
Kuku kuchi bei yake iko juu sanaa.. Me kuna mtu anauza yule ambae anatetea sh 150,000
 
kwanza unatakiwa ujue kwamba kuch jike hakui kama jogoo ila pia ni wazembe sana kuatamia na kutotoa pia

sasa unapataje vifaranga na breed yao ilianza vipi au ni wa kizungu nini?
 
Nimeamua kuingia kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji baada ya mradi wangu wa bata maji kwenda vizuri.

Nahitaji mayai 1200 ya kuchi au kuku wengine wa kienyeji, tafadhali wasiliana nami kama utakuwa na mayai hayo, yasiwe na umri zaidi ya wiki moja tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…